Tuesday, April 23, 2019

USIPUMBAZWE NA PESA

ies do not let money fool you,,sponsors just want to use you,,,,hakuna kitu kibaya kama kushinda kutumia akili Mungu alizokujalia kufikilia mambo mazuri juu yako,,,,,wadada ukiona mtu anataka kugharamia kila kitu kwasababu ya ngono,,,huyo siyo mtu mzuri kwako,,,,,,wengi tunajisahau tunaona tunapendwa kumbe anakutumia tu,,,,akichoka anakuacha anaenda kutafuta kifaa kingine(mwanamke mwingine mrembo)huku wew kashakuharibu na pengine
kakuachia maradhi na future yako kaiharibu,,,,,usione fahari kubadilisha mavazi kila siku,,,,,kumbuka utakapo poteza nuru yako kama alivyokuona mrembo mwanzo atakuacha,,,utabaki kujilaumu,,,,fanya kazi acha kupenda mteremko.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2PumFnp

No comments:

Post a Comment