Saturday, April 27, 2019

MFANYE MLKIA AKUFANYE MFALME


Habari yako msomaji wangu,,,, nataka ujue thamani ya upendo kwa mpenzi wako,,,,huongeza uzuri na tabia ya KUKUPENDA zaidi,,,,hivyo ukimpenda na kumfanya malikia wake nae atakupenda na kukufanya mfalme kwake,,,,na hiyo ndo maana halisi ya upendo na mapenzi ya dhati kwa watu waliopendana kati ya mume au mke,,,,,thamani yake usimpe mtu mwingine,,,,na yeye hawezi kuitupa,,,,vile unavyomtenda hasa mema,,,,,unafanya moyo wake muda wote ufikiri juu yako,,,,,jifunze kuwa amani na sehemu ya furaha yake.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2ZG8xMz

No comments:

Post a Comment