Friday, April 26, 2019
USIWE MWEPESI WA KUMKABIDHI MTU MOYO WAKO
Habari yako msomaji wangu,,, namshukuru pia kwa nafasi hii,,,,ni ukweli usiofichika kuwa mtu anapokuwa katika hali ya maumivu ya mahusiano hufika wakati anakata tamaa kabisa,,,,,lakini kwa bahati mbaya uchovu huo huo hupelekea maamuzi ambayo yanaweza mrudisha katika kisima cha machozi tena,,,,unahitaji kuwa makini sana,,,,maana hali unapokuwa katika simanzi kuna watu watakuja bila kujua unayopitia,,,usijisahau kwa kujirahisisha kwa kutafuta faraja na kuamua kumpa mtu moyo wako,,,,ni vema KUMSHIRIKISHA MUNGU maana kuna watu wamebeba miiba ukiwapa moyo wanaweza wakautoboa na kukuachia matobo na maumivu makali sana,,,,unahitaji kuwa makini sana.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GFbwMN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment