Habari yako msomaji wangu,,,,,leo naomba tuangalie jinsi gani simu inaweza kuhatarisha mahusiano yako endapo itatumika vibaya.
ZIFUATAZO NI SABABU KUU MBILI ZA MATUMIZI MABAYA YA SIMU KATIKA MAHUSIANO
**KUTOJALI UWEPO WA MWENZA WAKO
Wapenzi wengi jambo hili limekuwa ni tatizo,,,,unakuta mume au mke yupo bize na simu anachati hana muda wa kumsikiliza mpenzi wake na wala hajali uwepo wa mke au mume wake.
**NI CHANZO CHA UGOMVI
Simu imekuwa chanzo kikubwa cha migogoro katika mahusiano hasa pale wapenzi wanapotaka kuchunguza simu zao.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2IProPZ
No comments:
Post a Comment