Sunday, April 28, 2019

KWA NINI WANAUME WAMEKUWA WAKIWAKWEPA/WAKIWADHARAU BAADHI YA WANAWAKE BAADA YA KUSHIRIKI NAO MAPENZI MARA MOJA AU MBILI

:
Kuna baadhi ya wanawake wanasex na mwanaume mara moja au mbili tu alafu mwanaume anamkimbia ama anakuwa hamtaki tena, waswahili wanasema anazama mitini mazima.Yaani mbaya zaidi kwa wale walio katika ndoa basi mke uonekana hana thamani mbele ya mume na wengine huanza kuchepuka kabisa na wake zao kuachwa wakilia na ndoa zao.
Lakini pia kwa wale wanaofanya mapenzi kabla ya ndoa basi ndiyo hukimbiwa na kama kulikuwa na mipango ya ndoa hufa yote.Binti ubaki akiwachukia wanaume wote na kuwaona wabaya pasipo kujua ubaya ameuanza mwenyewe.
Leo nataka nikudokezee machache yanayosababisha tatizo hilo na samahani kama nitakosea maana sifichi kitu hapa.
Kuna matatizo mengi yanawakumba wanawake na ndiyo chanzo.
1: Uchafu.
Mwanamke anakuwa na uchafu unaozalishwa sehemu za siri kuliko sehemu nyingine za wazi mwilini.
Unakuta mwanamke anavaa suruali ya jinsi ya kubana(skin tight/jean's) january mpaka desember yaani haachi nyeti ipumue.
Usiku unavaa nyingine full joto lakini amekomaa tu na majasho....
Best hapo panachemka na ukitaka kujua hilo acha nywele za kwapani kisha ziangalie mpaka jioni zina rangi gani na harufu gani inatoka kisha jiulize vipi huko chini kunako papuchi.
2:Kama hupaswafi vizuri basi una hatari ya kupata magonjwa kama fangas na n.k.
3: Kufeli kwa misuli ya uke yaani uke kutepeta unakuwa mkubwa kuliko maumbile ya mwanaume.
Hapo ndio pale mwanaume unaingiza yooote unasikia unaambiwa INGIZA YOTE BEBY yaani ni kama bure kitendo.Anatumia nguvu zake nyingi lakini kwa mwanamke inakuwa sawa na kupiga mbizi baharini.
Hii uwakumba wanawake wenye miili fulani fulani ingawa moja ya njia za kupunguza tatizo hili ni kufanya mazoezi.
4: Uke kujaa maji unanyevuka sana na mnapo sex hamjui nini cha kufanya hapo.
Mwisho wa siku hakuna mwanaume anayependa hali hiyo na kama akikumbana nayo basi anakuwa hana mzuka wa kutosha kuweza kufurahia tendo la ndoa.Waswahili wanasema kula lazima lakini kuoga hiari hivyo inapotokea anaogeshwa kilazima hata kama na kula anakula bado hamu ya kula inapungua na wengine kukinai kabisa.
Pia mwanamke anapokuwa na maji mengi ukeni lazima baadhi ya magonjwa yatakuwa yanamnyemelea kwa ukaribu sana kutokana na uwepo wa bakteria.
Mambo hayo manne(4) mwanaume akikutana nayo lazima atakimbia kwa kutokuwa na hamu tena.Hii ni kutokana na wanaume kuwa wasiri kupita kiasi atakimbia na wengine wataenda kusimulia mbali lakini sio kwa muhusika.
Wanawake jitambueni jamani kijinsi na kimaumbile ili mpate tiba mapema.
Lakini pia wanaume mnapokutana na wanawake wa namna hii msinyamaze kimya wala kumdhalilisha kwa wengine.Mwambie kwa upole na kwa kuonyesha unamjali ata kama ulikuwa unapita tu tengeneza basi mazingira iwe ndio ukumbusho wako kwake.
NOTE:Siungi mkono zinaa ama mapenzi kabla ya ndoa lakini napenda wote mpate elimu hii maana unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini siyo kunywa maji.Na pia asiyesikia la mkuu tunamwacha ajionee mwenyewe japo siyo dhamira yetu.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2XX4Nor

No comments:

Post a Comment