Monday, April 29, 2019

KWANINI MAHUSIANO MENGI YA SIKU HIZI HAYATATULIKI?



Habari wapendwa wasomaji wangu natumaini upo sana,,,,leo nataka tuangalie kwanini mahusiano mengi ya siku hizi hayatatuliki,,,,,hili ni swali ambalo huenda kila mtu anajiuliza,,,,hivi kwanini mpenzi wangu habadiliki,,,,hata kama unatumia muda mwingi kumueleza namna gani ya kulinda na kutunza mahusiano yenu,,,,,,,nataka nikwambie ni sababu ipi inasababisha mambo yasiende kwenye mahusiano yako,,,,SABABU KUBWA NI KUTOKUJUA CHANZO CHA TATIZO,,,KUTOKUJUA CHANZO CHA TATIZO NI TATIZO LA KWANZA,,,,,ndo maana hata ukienda kwa wanasaikolojia au washauri wa mahusiano,,,kabla ya kukushauri cha kufanya ni lazima wajue tatizo ni nini,,,,huwezi kutatua jambo wakati bado hujajua kiini cha tatizo hilo.hivyo basi ukiona mahusiano yako kila siku ugomvi hauishi,,,likitoka tatizo hili linaingia hili,,,basi kaa chini tafakari kwa makini ili ujue kiini cha tatizo ni nini.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GKexLP

No comments:

Post a Comment