Thursday, April 25, 2019
WENYE UPENDO WA DHATI WAPO.
Licha ya kuwa mapenzi ya siku hizi ni ya maumivu mengi,,,,lakini wapo ambao kila siku kwao ni sherehe,,,unadhani kwao ilikuwa rahisi?Bila shaka hapana,,,kuna kitu cha ziada wanakifanya ili kudumisha mahusiano yao kila iitwayo leo,,,,,licha ya mambo ya kidunia Mungu pia anahusika katika mapenzi yako,,,, sio tu Mungu anahusika wakati wa migogoro yenu,,hapana,,,wameanza na Mungu na bado wanaendelea nae,,,,,,,Mungu akishatoa kibali kinachofuata ni kuishi katika misingi bora ya mahusiano yenu,,,,,,Mungu ashafanya sehemu yako,,,sasa imebaki kwako wewe binadamu kufanya upande wako kwa mfano wake.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Gu4WZ6
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment