Monday, April 29, 2019
TAFUTA SULUHISHO LA KUDUMU
Unapoona tabia kwa mpenzi wako ambazo hukuzoea kuziona kipindi cha mwanzo jua hapo kuna tatizo,,,, wengi tunaona mabadiliko katika mahusiano yetu lakini hatupo tayari kutatua badala yake tunaanza kutafuta mbadala wa yule aliyekosea,,,,SWALI LA MSINGI,,,Ni kweli unayemfuata kama mbadala wa yule ulokuwa nae yeye hana mapungufu?kama anayo vipi na huyo utamkimbia kama yule was kwanza?,,,Tafuta suluhisho la kudumu maana unapokimbia na kwenda kuanzisha mahusiano mapya hapo unakuwa hujatafuta suluhisho la kudumu,,,,,maana hata huyo anaweza akakosea kama alivyokosea wa kwanza.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DAX1IY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment