Friday, April 26, 2019
KWANINI WATU HUKATAA ANAPOULIZWA KAMA ANA MPENZI WAKATI YUPO KWENYE MAHUSIANO?
Zipo sababu tofauti tofauti ambazo husababisha mtu kukata kama ana mpenzi.
1.KUTOKUWA NA UHAKIKA NA MAHUSIANO YAKE.
Hii inapelekea mtu kudanganya kwasababu mahusiano aliyonayo hayana mwelekeo hivyo hujisikia vibaya kukubali kwa hofu aliyonayo.
2.KUTOJIAMINI
Kuna watu wanashindwa kujiamini huenda labda mpenzi wake ana matatizo au yeye mwenyewe.
3.KUNA WATU HAWAPENDI KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAO
Kuna baadhi hukataa kuwa wapo kwenye mahusiano kwasababu hapendi kuweka mahusiano yake wazi.
4.TABIA YA TAMAA NA USALITI WA MTU
Hii huja pale mtu anapotaka kuchepuka hivyo huficha mahusiano yake ili aweze kumpata Yule anayemtongoza,,,hii tabia ipo kwa kiwango kikubwa kwa wanaume,,,,japo sasa hata wanawake wana hii tabia.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GzHMAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment