Monday, April 29, 2019
MJUE MSULUHISHI WA MAHUSIANO YAKO
Nani msuluhishi wa mahusiano yako?hili ni swali ambalo kila mmoja anatakiwa kujiuliza kiuhalisia hakuna mapenzi yasiyo na kutofautiana,,,tofauti zipo kwa wapenzi au hata wanandoa,,,,kama migogoro hutokea lazima suluhu ipatikane,,,,SWALI LA MSINGI,NI NANI MSULUHISHI WA MAHUSIANO YAKO?Baadhi ya watu huwatumia marafiki kusuluhisha tofauti (migogoro iliyopo)Kuna wengine huwatumia wazee waliopo maeneo hayo,,,JE WAJUA MSULUHISHAJI ANAWEZA AKASABABISHA UGOMVI USIISHE?Jambo hili hutokea pale mmoja wenu akiwa na ukaribu au anamuheshimu sana msuluhishi wenu,,,Mfano kama anamchukulia mtu huyo muhimu kwake kama mama,baba au kaka,,,,hii inaweza mfanya mwenza wako kukubali ugomvi uishe kwa shingo upande KWA kuwa aliyeshauri ana muheshimu na kama atakataa atahisi ataonekanaje,,,,,lakini nikwambie tu,,,kwenye suluhu maamuzi yenu ni muhimu zaidi kuliko maamuzi ya kuamuliwa maana nyie ndiyo mnayaishi hayo maamuzi mtakayo yaamua.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DHdATD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment