Friday, April 26, 2019

EPUKA KUKURUPUKIA MAPENZI.



Wanawake wamekuwa wakiitafuta ndoa kwa nguvu huku wanaume nao wakijaribu kuvuta subira muda wa kuoa,,,,,,,,ewe mwanamke unayelazimisha mwanaume akuoe kuwa makini na hicho unachokifanya usije jutia baadae,,,,,,wapo wanawake wamejaribu kupata ujauzito akiamini kufanya hivyo ataolewa na huyo mwanaume,,,,,,lakini husahau kuwa jambo hili lina matokeo mawili KUKUBALIWA AU KUKATALIWA,,,,,,wanaokubaliwa ni wachache ukilinganisha na idadi ya wanaokataliwa na kutelekezewa watoto,,,,hivyo basi ewe mwanamke kuwa makini na maamuzi yako pia mshirikishe Mungu katika chaguo sahihi la mume bora,,,,kikubwa jipende,jithamini na kuwa karibu na Mungu.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2vpIPOG

No comments:

Post a Comment