Thursday, April 25, 2019

KUONGEZA UUME NA UKWELI ULIOJIFICHA



Miaka kadhaa nikiwa advance shule X nilikutana na jamaa aliyekuja kuwa rafiki wa karibu sana. Sasa hii shule ilikuwa ni ya boarding halafu wanaume tu.
Waliosoma hizi shule mtaelewa. Kila siku saa 4 usiku tulikuwa tunatoroka na kwenda kula papuchino mtaani kwa vidada na wamama huko (Ujana achaneni nao kabisa).
Binafsi ninastori ndefu ila nitaifungulia uzi siku za usoni. Huyu jamaa yangu hakuwahi hata kugusa papuchino ikabidi nimuulize kulikoni mzee mbona huchangamkii fursa.
Akaja na maelezo kibao nikaamua niachane nae. But jamaa ndo hivo alikuwa handsome kutuzidi sisi watoto wa shamba na ifahamike yeye alitoka familia bora na maisha yake ameishi mjini tu.

So wadada wengi walikuwa wanampapalikia japo yeye aliwazingua tu japo alipenda. Siku moja katika stori zetu jamaa akafunguka tatizo lake. Jamaa alikuwa na tatizo la mkuyenge (kibamia) so hakutaka kuaibika.

At that time sikuweza hata kumpa ushauri nikampa pole na nikamwambia awapige hivohivo ila aligoma.

Stori ikaendelea tukamaliza advance tukapangiwa chuo kimoja course tofauti. Course yao ilikuwa na watoto murua kabisa na mm ikabidi nikasalalizie huko.

Jamaa kama kawaida yake alikuwa na demu aliyempenda sana ila ndo hivo hakumpiga mambo. Mpaka demu akaanza kuja kulalamika kwangu kuwa jamaa anamtesa hii ni baada ya kupata habari ya rafiki ake mambo anayoyapata toka kwa mzee baba Guzman_. Kweli ugomvi ulikuwa mkubwa yule demu alimpenda sana jamaa kiasi hakutaka hata kuwa na mtu mwingine. Mimi naujua ukweli kuwa jamaa kibamia imekuwa ikimtesa sana.

Mwaka wa pili mimi nilikuwa naishi na broo mkoa mmoja na niliposoma chuo ila broo alikuwa mtu wa safari sana. Siku moja walifunga safari wote wa3 pamoja na demu wangu kuja kunitembelea basi bana tukaandaa sherehe yetu pale (kama sikosei ilikuwa likizo mwezi wa 9 hivi).

Yule demu wake aliomba niongee nae jamaa kuwa anataka kulala nae siku ile. Lakini jamii baada ya kusikia alizingua na nikamsisitiza kuwa akubali ila asifanye lolote na mimi nitamwelekeza yule demu wake kuwa walale tu bila kutiana (japo nilijua siku ya 2 ingekuwa kesi kubwa). Jamaa akakubali nikawaachia chumba changu mimi na demu wangu tukalala chumba cha wageni.

Cha kushangaza jamaa alimtoroka yule binti akidai kuwa angerudi hata mimi hakuniaga. So demu alilala peke ake asubuhi ndo ananipa hio taarifa. It was very hard time kwangu mm kumwona mtoto mzuri analilia mkuyenge na at the same time naelewa nini kinaendelea kwa yule jamaa.

To cut the story short ikabidi nikae chini na jamaa tuweze pata ufumbuzi wa tatizo lake. Tukaenda kwa madaktari bingwa hospitali kama 3 ila haikufua dafu kila mmoja akasema ni ngumu.

Tukatimba kwa wamasai wakatuchomolea hela bila mafanikio. Muda huu tukiwa mwaka wa 3 na ameshagombana na demu wake hata hawaongei na jamaa nae akaanza kama kuwa sio sawa kisaikologia.

Tukamaliza masomo tukawa kitaa jamaa akaanza kuwa mlevi na mtu asiye shaurika nikatamani nimwambie ukweli yule binti ila nilihofu asije mtangaza jamaa. Baada kama mwaka nikamshauri jamaa aoe yule mtoto ili akiingia kwenye ndoa kutoka iwe ngumu na akubali matokea.

Kweli jamaa alifunga harusi kubwa tu na izingatiwe mzee wake suala la pesa sio ishu ya kudiscus. Baada ya harusi tu demu akaanza kuongea na demu wangu yule wa chuo kuhusu ukweli wa mambo na alifika sehemu kutaka kuvunja ndoa. Mimi nikamshauri yule demu wangu amweleze kuwa kunatiba kama ni kweli so ni jambo la muda tu avumilie.

Ikabidi nimtafute jamaa kujua progress aisee jamaa alisema tu laiti angejua asingefunga harusi angekubali hali na akaendelea kuishi tu mwenyewe. Ikabidi nianze kufanya utafiti tupate suruhu (Aisee tulipoteza takribani 400,000) lakini hamna matokeo.

Sasa siku moja wakati tunacheza draft mtaani kuna fala mmoja alipita anauza CD za pilau mara wahuni wakaanza kudiscuss mikuyenge ya wale jamaa. Kijana mmoja karopoka "Mbona hio dawa hata bongo zipo tena kariakoo tu hapo".

Mimi nikanote baadaye nikamtafuta yule jamaa kweli akatupeleka jamaa akapewa tiba yule mshikaji alikuwa mtu wa kawaida sana ila alisema isipowafaa ntawarudishia pesa zenu.
Jamaa baada ya wiki 4 kweli akaona sasa anaweza simamia show vilivyo. Leo hii nimetoka kula PASAKA KWA JAMAA na wanatarajia mtoto siku chache zijazo.

POINT: Jamii isibeze shida ya ukibamia ni kubwa na inaadhiri vijana wengi (silent killer)
NOTE. Sikutaka kuhusisha andiko hili na huyu aliyetupa dawa kwa mantiki kuwa natangaza dawa na nisingweza fanya hilo. Ila ukweli ni kuwa dawa ipo na dawa feki ni nyingi

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2IVu6Tx

No comments:

Post a Comment