Habari yako msomaji wangu,,,kuna baadhi ya watu ni watu wa kuweka mambo moyoni,,,,akikosana na mpenzi wake anasamehe kwa maneno tu,,,,,lakini si kwa dhamira moja,,,,ila nataka nikwambie ukweli kuwa kukumbushana mambo yaliyopita ni SAWA na kuharibu furaha ILIYOPO,,,,JITAHIDI kuwa mtu wa kusamehe na kuitafuta furaha,,,epuka kuwa mtu wa kutaja makosa yaliyopita kila wakati,,,, hasa unapokuwa na mpenzi wako.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2V04bkD
No comments:
Post a Comment