Kwa hilo mwanamke bado unatafuta kujua kama jamaa yako anakupenda kweli?ukiona mpenzi wako anakuambia NIPE SIKU MOJA TU,,huyo sio wa kumchekea hata kidogo,,,,wala usijipe kazi ya kutaka kujua kama kuna upendo hapo,,,,,,,mshukuru Mungu kwa ulichokuwa unakitaka umekifahamu mapema,,,,usipoteze muda na huyu tena na ikiwezekana kata kabisa mawasiliano nae.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2vhwKuR

No comments:
Post a Comment