Wednesday, April 24, 2019

TAFUTA MUDA NA MAZINGIRA SAHIHI YA KUONGEA NA MPENZI WAKO


Watu wengi hatuna mazoea ya kuongea na wenza wetu katika hali ya kawaida,,,,,hii huenda ikatokana na mazingira tulokuwa nayo,,,ikitokea tumezungumza basi ni wakati tumegombana tu,,,,,,ni kitu kilichozoeleka kwa watu wengi kuwa MPENZI WANGU HANISIKILIZI KABISA,,TUNASAHAU KUWA MUDA NA MAZINGIRA TUNAYOTUMIA SIO SAHIHI.Hivi fikiria umetoka katika mihangaiko hujakaa hata kupumzika tayari mwenza wako ameshaanza vurugu ya maneno,,,unaweza ukamsikiliza kweli?kiubinadamu ni ngumu kufanya  hivyo kwasababu ataonekana kama kero tu kwako,,,,kuna wakati tunakosea kuchagua muda na mazingira ya kuongea na wapenzi wetu ndio maana unalalamika husikilizwi ukiongea kumbe ni kwasababu hujatengeneza muda mzuri na mazingira sahihi ya kuongea nae.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Dxbbe2

No comments:

Post a Comment