Tuesday, April 23, 2019

TOFAUTI KATI YA KUMTUMIA MESEJI MPENZI WAKO NA KUMPIGIA SIMU


Unapotuma meseji unaweza usiwe makini sana tena unaweza kutuma na ukaendelea na mambo mengine,,,,,lakini unapompigia simu inakuwa vizuri zaidi kwasababu unakuwa makini na unaacha mambo mengine na unampa muda mpenzi wako,,, pia unapopiga simu kwa mpenzi wako unagundua hisia za mwenza wako kupitia tone ya sauti yake,,,,ukajua hali yake kwa muda huo,,,,,neno NAKUPENDA linaleta hisia zaidi pale mpenzi wako anapolitamka kuliko ANAPOLIANDIKA.,,,,,unapopata nafasi mpigie mwenza wako simu,,,,meseji tuma pale unapokosa nafasi ya kupiga,,,ila isiwe njia kuu ya mawasiliano yenu,,,,,,dakika 3 ni muhimu sana unapoongea na mpenzi wako maneno yenye kuleta faraja kuliko meseji moja ndefu.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2W60I0G

No comments:

Post a Comment