Tuesday, April 23, 2019

USITARAJIE PENZI LA DHATI TOKA KWA MPITA NJIA




Ukiona mpenzi wako ana kila dalili ya kuonesha kuwa hayupo kwa ajili yako bali anapita tu,,,,,shida zake za muda mfupi ndizo zinazomuweka kwako,,,,akitimiza anasepa,,,,waswahili wanasema hivi "wazee wa kula na kusepa"anza kujitoa katika mahusiano hayo mapema,,,,,Maana umeshajua mapema na bado unaambatana nae tu hivyo huna wa kumlaumu wala yeye hapaswi kulalamikiwa wala kulaumiwa maana ni uzembe wako wakushindwa kuchukua maamuzi na hatua mapema.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GsAFKm

No comments:

Post a Comment