Inawezekana ukawa unampenda sana mtu lakini yeye asikupende wala kuona thamani ya upendo wako,,,,,,kuna muda tunatumia kuwaweka karibu wale tunaowapenda mpaka tunasahau nafsi zetu..
Usilazimishe kupendwa,,,unapolazimisha sana unajitengenezea mazingira ya kujishusha thamani yako hata hilo penzi unaloona la thamani litaonekana kero na usumbufu..
Kuna wakati unapaswa kuithamini nafsi yako na JITAHIDI kuzilinda hisia zako usijeziharibu.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2vjq0g3

No comments:
Post a Comment