Ushawahi kufanya jambo fulani ukiamini kabisa hili litamfanya mtu unayempenda kuwa karibu yako na akupende zaidi,,lakini ukashangaa akakukimbia kabisa,,
Kuna kitu kinaitwa interest (kitu anachopendelea)ukishindwa kugundua mpenzi wako anapendelea vitu gani basi pia utakuwa umefeli mpango wako,,,,,hvyo jitahidini kujua nini wapenzi wenu wanapendelea.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2GCdxu3

No comments:
Post a Comment