Unaweza ukawa karibu na mwenza wako lakini mahusiano yakaharika au yakaenda ndivyo sivyo,,,,na mtu mwingine mpenzi wake anaweza akawa mbali na mahusiano yakadumu,,,,,,kinachodumisha mahusiano sio kuonana kila siku bali kuheshu na kujali hisia za mwenzio bila kujali yupo karibu na wewe au mbali na wewe,,,,unapoheshimu hisia za mwenzio,,,,,,hii unaipa nguvu ya uaminifu katika mahusiano yenu hata kama itatokea mmoja wenu yupo mbali.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2INYGhT

No comments:
Post a Comment