Tuesday, April 23, 2019

JIFANYE MBABE WENZIO KAULI TU WANASEPA NA BINTI



Mwanaume unaongeaje kama msemaji wa chama kwa mpenzi wako,,,ongea pale panapobidi,,,,mpaka mtu anashtuka kweli leo mr kakasilika,,,,wanaume,,wanawake hupenda aina ya wanaume wanaojua nini wanazungumza,,,,,,lugha anayoitumia ni ya kistàatabu,,,asiyependa sifa kujifanya kila kitu anakijua(show off),,,,hivi wewe mwanaume hujawahi kujiuliza,,ni kwanini mwanaume mwenye kauli nzuri na maneno matamu ni rahisi kuteka hisia ya mwanamke hata kama ana mabalaa yake mwanamke hatoona hilo,,,,ndio maana anaweza akacheat na akarudi akasamehewa,,,,maana mwanamke huamini kateleza kwasababu ya mwanaume anapokuwa
taarabu na nidhamu.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2W3uvqH

No comments:

Post a Comment