Wednesday, April 24, 2019

USIHUKUMU WOTE KWA KOSA LILILOTENDWA NA MMOJA




Tuache hii tabia ya kuumiza wengine katika mahusiano kisa tu wewe ulisalitiwa/uliachwa katika mazingira ya kutatanisha,,,,kama hukufurahia ulichotendewa kwanini uwatendee wengine tena kwa kukusudia,,,SIO vyema kulipiza kisasi tena kwa wake wasiohusika na pigo lako,,,tubadilike maana kufanya hivyo hakukufanyi kusahau historia uliyotendewa,,,,,wala haitokurudishia ile hali uliyokuwa nayo kabla ya kuumizwa Bali unaendelea kuumiza moyo wako kwa visasi na chuki.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2DvrUyw

No comments:

Post a Comment