Wednesday, April 24, 2019

NGUO ZA NDANI ZINAONGEZA MSUKUMO WA MAPENZI



Mwanamke unapofahamu kuzipangilia nguo zako za ndani tena kwa rangi huleta mvuto kwa mpenzi wako,,,,,,kwenye suala la mahusiano vitu vidogo vidogo ndo vinaweza vikaleta furaha ya mapenzi yenu au yawe ya karaha,,,,,,mwanamke hakikisha nguo zako za ndani zinakuwa katika hali ya usafi,,,maana zikiwa chafu hilo nalo ni tatizo jingine,,,,,,utasikia mwanamke fulani aah mchafu,ananuka na utasikia na mengine mengi yanayofanana na hayo.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2IEMyQK

No comments:

Post a Comment