Tuesday, April 23, 2019

MWANAUME KUMLETEA ZAWADI MKE/MPENZI WAKO SIO UTUMWA



Naomba nikupe ufahamu juu ya zawadi,,,wengi wamekuwa wakitamani kuwapa zawadi wake au wapenzi wao,,,ila wanakuwa waoga kwa kudhani sio tamaduni zetu au ataonekanaje,,,,,na mwingine anahofia labda mke/mpenzi wake anaweza asiikubali,,,,naanza na wanaume,,, ni jambo zuri sana kuonyesha unampenda na unamthamini,,,,pia unapokuwa mahali ukajisikia kumfanyia kitu mpenzi wako usisite,,,,,maana uzuri na uthamani wake wewe waujua,,,,,usisite mnunulie chochote kile,,,,pia mwanamke USIJE THUBUTU kutoa kasoro juu ya hiyo zawadi,,,,utasababisha awe muoga na ukimsema unaweza kumwathiri kisaikolojia,,,,hivyo hata kama hujaipenda ipokee kwa shukrani na next time mwambie" bby hii nzuri lakini siku nyingine nichukulie ya hivi"Itakuwa busara zaidi na Mungu atazidi kuwainua,,,,,maana hekima ya mwanamke ni furaha kwa mme we.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Gs0L04

No comments:

Post a Comment