Tuesday, April 23, 2019

MFANYE MPENZI WAKO KUWA NDIYE RAFIKI YAKO MKUU


Najua kuna watu katika mahusiano huwa wanashare furaha zao na watu wao kwa msimu,,,ila nataka ujue kuwa,,,,,mke ndiye anayestahili kupewa heshima na dhamana ya rafiki katika mahusiano/ndoa,,,hebu mfanye mke wako kuwa rafiki yako,,,kuwa mtu wa kuongea nae kuliko mtu wa kumuamrisha kila mara,,,,najua unafurahia sana na marafiki huko mtaani,,unacheka,,na ukirudi nyumbani eti ndo unajifanya mwanaume sasa umenuna na kutoa amri zisizoeleweka,,,Lakini nikukumbushe tu kitu hao marafiki unaocheka nao,,siku ukiumwa au una tatizo lolote hutawaona,,zaidi labda watakuletea matunda ukiumwa na hawatafanya jambo jingine,,,,huyo mke unayemdharau huyo huyo ndo atakuwa na wewe MWENYE s


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2vknLJg

No comments:

Post a Comment