Tuesday, April 23, 2019

KUWA MAKINI NA MPENZI AMBAYE HAFURAHII MAFANIKIO YAKO.


Ladies ukiona mpenzi wako hafurahii mafanikio yako,,,,,hafurahi wewe kufanya kazi,,,,hafurahi hatua yoyote unayopiga ambayo wewe kwako ni muhimu,,,,,ukifanikiwa anachukia hata kukupongeza imekuwa ni shida kwake,,,,,kazi kwake ni kuleta ugomvi na visa kisa umefanikiwa jambo fulani,,,,,, kuwa makini na aina hiyo ya mwanaume,,,,,usije ukawa kondoo aloingia katika kundi la simba.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2PqFat9

No comments:

Post a Comment