Tuesday, April 23, 2019

ANA MEMA NA MABAYA PIA



Tumekuwa na kawaida ya kuwanyoshea wenzetu vidole hasa pale inapoonekana wamekosea,,,,waswahili husema BAYA MOJA HUFUTA MAZURI YOTE....mapungufu yapo,,,,,kila mmoja ana mapungufu yake kwa namna moja au nyingine,,,,,huenda mpenzi wako ni mtu wa kukukosea tu na wewe umekuwa mtu wa kulalamika"kwanini ni kila siku wewe tu unakosea"kaa nae kwa upendo uongee nae na umueleze jinsi gani unajisikia kutokana na mambo anayoyafanya ili ajirekebishe,,,,,,kumbuka mema aliyowahi kukufanyia na ukafurahia,,,,,mkumbushe maisha yenu ya mwanzo,,,,,muoneshe furaha uliyokuwa ukiipata,,,,USIMCHUKIE MBADILISHE.


from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2XFljcy

No comments:

Post a Comment