Siku zote ogopa sana mtu anayetaka akutumie baada ya kushinda kupata kitu fulani,,,,,kama kakufuata kwasababu ya alompenda kamkataa basi tarajia kuachwa baada ya kumpata atakaye mpenda kwa dhati kama yule was mwanzo,,,,,unapoona mtu anakuacha tena kwa kejeli na dharau,,,,,,hakuheshimu hisia zako wakati unalalamika juu ya Yale unayoyafanya leo,,,,anakurudia kwasababu mahusiano yake yamemshinda so kuwa makini sana,,,,,,unaweza ukaumizwa tena,,,,wapo wanaokuja kwa kigezo cha amebadilika,,,,wanaobadilika wachache kabla hujakubali chunguza kwanza.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2ITCOS6

No comments:
Post a Comment