Tuesday, December 3, 2019

Wazazi tumrudie Mungu







Kwanza kabisa tujue mtoto unapewa na Mungu wewe ni kama dhamana umepewa ya kumlea na kumtunza mpaka atapoweza kujitegemea. 
Sasa unatakiwa kila siku umuombe Mungu akuongoze ktk malezi. 

Kitu kikubwa tunapaswa kufahamu kuwa mtoto anatakiwa awe na maadili bora. 
Amjue Mungu wake, awaheshimu wazazi wake, awaheshimu wakubwa na kuwahurumia wadogo. 

Hayo ndio malezi bora 
Kisha tunakuwa na majukumu ya kumpa elimu bora ya Mungu na ya kuja mfanya aishi kwa kufanya kazi itakayompatia riziki.

Kwani ibada kubwa anayoipenda Mungu ni MTU kula riziki halali inayotokana na jasho lake. 

Lakini wazazi wa sasa tunaangamiza vizazi vyetu kwa ajili kujifanya tunaweza kulea bila msaada wa Mungu. 

Matokeo tunampa kipaumbele shetani atawale vizazi vyetu kisha baadae tunalia na Mungu. 

Mtoto wa miaka 2 unamkatisha viuno tena wa kiume kisha unamrekodi n kumtupa mitandaoni tena unamsifu eti jembe Sawa mipini IPO. 

Binti mdogo unamsukia manywele bandia na kumpodoa akapodoka nguo za kikahaba kisha unajidai ah huyu mtoto hana neno. 
Mwanaume akipatwa na maradhi ana cha mtoto sasa. 

Unamruhusu kwenda beach na watoto usiofahamu tabia zao matokeo watoto wanaharibiwa sana kwenye kuogelea hasa coco beach. 

Mtoto was kike anakwenda shule kapaka wanja, poda, lipshine na mzazi unaona Sawa akianza umalaya unamlilia Mungu. 

IPO haja ya kuokoa vizazi vyetu kwa kuwafundisha maadili bora. 


     🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2sISAJE

No comments:

Post a Comment