Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.
1. Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafir wa kwetu ni shida,mnabana had kupumua shida.Matokeo yake sipend watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafiri wa jumuiya!
2. Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap, hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo, au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe, weka sehemu flani then piga picha.
Hii inanifanya hata saa zingine niokote makopo ili nipige picha ili aamini
JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/367NAwU
No comments:
Post a Comment