SEH.6 Alivyoingia ndani tu dada yake alimpokea kwa maneno.
“Noana malkia umeletwa kwa gari mpaka nyumbani”
“We acha tu dada yangu yaani huyu mwanaume nimejikuta tu mwenzio. Lakini cha ajabu mpaka leo hajawahi kunitongoza na sijui anataka nini kutoka kwangu.
“Aaaaahah wewe usinichekeshe unafikiri mwanaume anaweza kutaka nini kutoka kwa mwanamke. Hapo anakuvutia tu kasi maana hayo anayokufanyia ndo kukutongoza huko na wewe mdogo wangu roho kwachu upo tayari kwa lolote.
“Kwa ni wewe dada unanishauri nini?”
“Mapenzi huwa hatushauriani maana mapenzi ni upofu cha msingi mchunguze zaidi ujirizishe huenda ndo bahati zewenywe hizo Mungu amekushushia.
“Kwa nini umesema nimchunguze”
“Kwa sababu huenda amekutamani, huenda ana mke na watoto huenda hata si tajiri kama tudhaniavyo. Wanaume ni wajanja sana anaweza kukulaghai ukaingia mkenge alafu baadaye ndo akakwambia ukweli.
“Hata hivyo bado hajanitongoza ingawa najua ananipenda na nilimvutia kuanzia siku ya kwanza na ndio maana anapenda kuwa na mimi muda wowote.
Hadrath aliingia ndani na kubadili nguo. Alikuwa ni mwenye furaha sana siku hiyo na alijiona mwanamke mwenye bahati ya kupendwa maana sio Kareem tu hata hapo mtaani ni wanaume wengi vijana kwa wazee wenye fedha na walala hoi walikuwa wakimsumbua. Hadrath alijua kabisa wote walikuwa wakiongozwa na tamaa za kiume lakini kwa Kareem alikuwa na uhakika zaidi ya asilimia 100 kuwa atakuwa anampenda kwa dhati ya moyo. Siku zilizidi kuyoyoma na ukaribu wao uliongezeka. Siku moja Kareem alimwalika kwake ambapo alikuwa akikaa.Ilikuwa ni nyumba ndogo lakini yenye hadhi kumbwa. Hadrath alipoingia alivutiwa na nyumba hiyo na alijikuta shingo feni akiizungusha huku na kule mradi tu kuona tu vilivyomo.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/3552fYg
No comments:
Post a Comment