Sunday, December 29, 2019

Simulizi: SONONEKO (02)




 ILIPOISHIA Baada ya muda kidogo simu yangu ilipokea ujumbe kutoka kwa mke wangu uliosomeka hivi “Haya mume wangu mpenzi lakini kuwa makini. Msalimie sana shem” Ujumbe ule uliniuma sana kwani mimi nilikuwa ni msaliti mkubwa sana katika ndoa yangu na mara zote mke wangu amekuwa akinionya huku akiwa na huzuni sana kwani hakika nilikuwa nikimtesa sana kwa usaliti wangu. SASA ENDELEA Muda huo huo nikaanza kumpanga Morris kwani kwa nilivyomfahamu Rose mke wangu angewasiliana na Morris kwa lengo la kupata uhakika wa kile nilichomwambia. Nikamtumia ujumbe mfupi Morris ambao ulisomeka hivi “Mambo vipi kamanda. Mwenzio leo niko mahali fulani hivyo sitarudi home. Nimemdanganya shemeji yako kuwa nimelala kwako si unajua tena mambo yetu haya bwana. Nimekutana na mtoto mzuri sana leo” Kitambo si kirefu Morris naye alijibu ujumbe ambao ulisomeka hivi, “Dah! Usijali mtu wangu mimi mwenyewe hapa nipo na mtoto mkali yaani hatari”. Hapo nikaona mambo yamekaa katika mstari kwani Morris hajawahi kuniangusha hata siku moja na daima amekuwa mshirika wangu mkubwa katika mambo ya uzinzi. Maggie alirudi sebuleni na kwenda mahali fulani pale sebuleni. Alibonya kitufe fulani na mara “heater” zilizokuwa zimebandikwa ukutani ziliwaka na kutawanya joto ambalo lilileta burudani tosha kabisa mle sebuleni. Maggie alikuja katika sofa nililokuwepo na kukaa sambamba kabisa nami huku akinitizama kwa makini. Kifupi hata mimi nilijaliwa sura yenye mvuto pamoja na sauti tamu sana. Hili nililitambua mara baada ya kuona warembo wengi wakinipapatikia. Hapo nikaamua kuongeza na utanashati juu yake jambo ambalo lilizidi kuwaua warembo. Utanashati wangu ulizaa tabia moja mbaya sana ya uzinzi. Mimi nilikuwa ni mzinzi si mchezo. Mwanamke yeyote mrembo aliyekatisha mbele yangu ni lazima alinasa kwangu. “Stanley naweza kukuuliza swali”. Maggie aliongea na kunishtua kutoka katika dimbwi la mawazo nilimokuwa nimetopea. “Uliza tu mrembo wala usiwe na hofu”. Nilimwambia Maggie kwa sauti ya kujiamini huku nikiwa sijui ni swali gain ambalo alikuwa akitaka kuniuliza. “Hivi wewe umeoa?”. Maggie aliuliza huku akiwa anamaanisha kile ambacho alikuwa anakiuliza. “Hapana bado sijaoa”. Nilimjibu Maggie kwani swali kama hilo halikuwa geni katika ngoma za masikio yangu. Nimekwishawahi kuulizwa na warembo kibao ambao nimekwishatembea nao hivyo pia nililitegemea swali la aina hii toka kwa Maggie. “Mbona umechelewa sana kwani ulikuwa unasubiri nini muda wote huu”. Maggie aliniuliza baada ya kupata jibu ambalo hakulitarajia kwani yeye alitarajia kujibiwa kwamba mimi nimeoa. “Ninasubiri ambaye ni majaliwa yangu. Nimewahi kuwa na mchumba kipindi fulani lakini alinisaliti na kuolewa na rafiki yangu hivyo toka kipindi hicho nilipondeka moyo wangu na kutotamani kuwa na mahusiano tena”. Mdomo wangu ulifanikiwa kuropoka uongo wenye hisia ambazo zilimchoma sana Maggie na wakati huio huo mvua nje ilikuwa ndo imezidi kuchanganya na haikuonesha dalili za kukatika kabisa. “Pole sana Stanley. Nina imani kwamba Mungu atakuonesha wa chaguo lako”. Aliongea Maggie kwa sauti ambayo ilinichoma sana. Na pale nilikuwa naamini ya kwamba nilikuwa ninazichezea hisia za mtu kabisa. Ama kweli mimi nilikuwa napenda sana kufanya mambo ya hatari kabisa. Maggie alisimama na kupita mbele yangu akiwa na lengo la kwenda kuchukua rimoti ya TV. Ghafla alijikwaa katika miguu yangu na kupiga dafrao kubwa. Mimi nilikuwa makini sana kwani kabla hajafika chini nilimdaka na akawa salama katika mikono yangu. Maggie alikuwa amekaa juu ya mapaja yangu huku macho yetu yakiwa yanatizamana kwa ujirani kabisa. Pumzi zetu zilikuwa zimekaribiana na nililihisi kabisa joto la mwili wake. Maggie alikuwa ameanza kulegea taratibu na kuanza kuusogeza mdomo wake kwangu. Mimi sikufanya ajizi. Nilimpokea na kuziunganisha ndimi zetu pamoja. Tulibadilishana ndimi zetu huku nikiwa na hisia kubwa sana za kimahaba. Wakati huo huo mikono yangu haikukaa bure. Ilikuwa ikifanya utalii katika sehemu mbalimbali za mwili wake laini. Hatimaye mikono yangu ilifika katika chuchu zake na kuanza kujivinjari hapo. Niliyahisi mapigo ya moyo wa Maggie yakianza kubadilika na kwenda kwa kasi. Nikajua kumbe hapo ndipo ambapo panampa raha Maggie. Nikaongeza juhudi katiika kuzichezea chuchu zake huku midomo yetu ikiendelea kupeana burudani. Kwa mbali nikaanza kuisikia miguno ya kimahaba ya Maggie huku pumzi zake zikiongezeka kasi. Nilimnyanyua na kumpeleka kule chumbani kwake. Mimi nilikuwa ni fundi sana katika tasnia hii ya mahaba. Si kwamba najisifia la hasha! Bali kila mwanamke ambaye amekwishawahi kutana nami hulikiri hilo. Sikumfikisha Maggie moja kwa moja kitandani bali nilimtua katika zulia safi la manyoya lililoifunika sakafu ya chumba kile nadhifu. Tuliendelea kugaragazana hapo chini zuliani mithili ya wacheza mieleka ambao walikuwa wamechoka huku mimi nikionesha ufundi wangu mkubwa wa kumpandisha ashki mwanamke. Baada ya kama dakika arobaini na tano hivi, Maggie alionekana yu chapachapa na alikuwa akihitaji haki yake ya msingi. Nilipomtazama mjomba naye alikuwa amefura kwelikweli huku akinilaumu kwamba kwa nini nilikuwa namchelewesha yeye kufanya kazi yake. Nikaona isiwe tabu kwani wakati muafaka ulikuwa ndio ule. Nilimchukua Maggie na kumpeleka kitandani. Kwa wakati huo hakuna hata mmoja wetu ambaye alikuwa na nguo mwilini na sielewi zilituvuka muda gani. Mambo haya jamani YAANI WE ACHA TU!. Nikambwaga juu ya kile kitanda kikubwa cha futi tano kwa sita. Mzinzi na mtaalamu mkubwa wa zinaa mimi nikamfuata pale na kumkumbatia. Maggie alinipokea na kisha tukaanza kupeana burudani ambayo kila mmoja aliihitaji kutoka kwa mwenzake. Usiku ule nilimpa Maggie mahaba ambayo nina uhakika kwamba hajawahi kuyapata toka kwa mwanamume yeyote kwani vilio na miguno aliyokuwa akiitoa ilikuwa ni balaa. Ilikuwa si milio ya maumivu bali ilikuwa ni milio na miguno ya mahaba ambayo iliashiria kwamba alikuwa akipata raha na burudani tosha toka kwangu. Ila nakiri pia kwamba Maggie naye mambo haya alikuwa akiyaweza haswa kwani alinipeleka puta mtu mzima mpaka nilihisi kuzidiwa na kama ingekuwa si uzoefu wangu katika masuala haya ya mahaba ama kweli mwanaume ningeumbuka. Mpaka tunamaliza mimi na Maggie tulikuwa chapachapa na Maggie alikuwa haishi kunishukuru na kunipongeza kwa kunipa mabusu motomoto ambayo yalikuwa ni matamu haswa mithili ya asali. “Stanley hakika wewe ni fundi haswa. Sijawahi kukutana na mwanaume kama wewe katika maisha yangu. Nakupenda sana Stanley naomba niwe wako na wewe uwe wangu pekee”. Aliongea Maggie jambo ambalo sikulitegemea kutoka kwa mtoto mrembo kama huyu. Ndiyo ilimbidi anishukuru na kukiri wazi kwani muziki wangu ulikuwa ni mnene haswa. “Ahsante sana Maggie. Nami nashukuru sana kwa penzi ambalo umenipa. U msichana mzuri, mrembo na wa pekee kabisa miongoni mwa wasichana ambao nimewahi kukutana nao. Najikabidhi kwako, niwe wako pekee mpaka milele”. “Ninajisikia fahari sana mimi kuwa ndiyo chanzo cha furaha yako na pia amini nitakufanya uwe mwanamke mwenye furaha kuliko wanawake wote duniani na pia hautajuta kamwe kuwa nami kwani wewe ndiwe mwanamke wa maisha yangu”. Mzee mzima nilijikuta nakula kiapo mbele ya mtoto Maggie bila kutegemea kutokana na kuchenguliwa na penzi tamu la mtoto huyu. Zilikuwa ni “sound” hasa ambazo zilikuwa na utamu wa pekee wenye kuweza kumtoa nyoka pangoni. Jamani huu uongo laiti ungekuwa ni uchafu ambao unanuka basi kwa sasa mdomo wangu ungekuwa umekwishaoza kabisa kutokana na kuongopa. Kinywa changu hakika kilijaliwa kuropoka uongo ambao ulikuwa ukiwanasa mabinti warembo wengi. Kwa kweli Maggie alinipa penzi ambalo sijawahi lipata awali isipokuwa ni kutoka kwa mke wangu basi. Jambo hili lilinifanya nizidi kumganda Maggie na kuhakikisha kwamba nitaendelea kumsaliti mke wangu milele na milele na mtoto Maggie kamwe hatobanduka kutoka katika himaya yangu. Baada ya hapo tulienda bafuni ambako tulioga pamoja. Huku nako mambo yaliendelea kuwa bambam. Tulipeana mahaba ya dhati hukohuko bafuni na kuwa nyakanyaka kabisa. Penzi halichagui mahali pa kulifanyia bwana. Tulirejea kitandani na kujilaza huku tukiwa tumekumbatiana na kubadilishana joto la miili yetu. Huko nje nako kulikuwa hakutamaniki kwani mvua ilikuwa ikiendelea kupiga haswa. Tuliendelea kubadilishana mawazo na hatimaye usingizi ukatupitia na kutojua kilichoendelea. ************* Asubuhi nilirudi nyumbani huku nikiwa na wasiwasi mkubwa sana moyoni. Nilikuwa nahisi ni lazima mke wangu atagundua usaliti ambao nilikuwa nimemfanyia usiku ule kwani mara zote ambapo huwa natoka nje ya ndoa, mke wangu hunigundua. “Vipi mke wangu?”. Nilimsalimia mke wangu huku nikiwa nayakwepesha macho yangu yasigongane na yake mara tu nilipoibandika hatua yangu ya kwanza katika nyumba yangu. “Safi tu za huko ulikokuwa?”. Mke wangu aliniuliza swali ambalo lilinisuta hasa kutokana na kwamba nilikuwa nimetoka kufanya uzinzi. Nilikuwa nimeanza kuhisi huenda mke wangu alikwishagundua unyama ambao nilikuwa nimetoka kuufanya. “Nzuri tu mke wangu, shemeji yako anakusalimu sana”. Nilimjibu mke wangu kwa kiherehere na kwa kujiamini kidogo. Wakati huo nilikuwa naelekea chumbani na kumwacha mke wangu pale sebuleni. Sikutaka kabisa kuendelea kuwepo maeneo yale ya sebuleni kwani huenda hali ya hewa ingechafuka na kuzuka balaa kubwa. “Namshukuru Mungu kama naye ni mzima wa afya”. Ilinikuta nikiwa mlangoni kuingia chumbani kwetu. *************** Usikose sehemu ya 03 ya simulizi hii ya kusisimua

  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZzUnNt

No comments:

Post a Comment