SEH.3 “Bibie umekujwa wewe ni kifaaa na nilikwambia kabisa usikae kijijni ukajipausha bure wakati wwe ni kifaa ukija mjini wanaume watajigonha wenyewe.
“Aaaaaah wewe bhana mimi nimekuja kuosma huku mwenzio.Wote kwa pamoja walichoka na kuenelea na stori huku rafiki yake huyo akiosha vyombo.**********
Hadrath ni msichana aliyezaliwa miaka 20 iliyopita huko Handeni mkoani Tanga. Ni msichana aliyezaliwa na kukulia kwenye mazingira ya kijijini. Ni msichana ambaye ni mrembo wa sura na umbo. Ni miongoni mwa wasichana ambao kama angekuwa mjini basi tayari angeweza kuwa maaarufu kwa uzuri tu. Alijaliwa vingi vya kuvutia ikiwemo nywele, miguu wowoo kumbwa. Ni msichana ambaye hali ya familia yao haikuwa nzuri sana kwa upande wa kipato. Tangu akiwa mdogo maisha yao yalikuwa ya kuunga unga sana na alisoma kwa shida sana mpka alipofikia elimu ya form four. Hata hivyo isivyo bahati hakubahatika kuendelea na masomo zaidi alipata maksi hafifu ambazo hazikumwezesha kupangwa kwenye shule ya sekondari za serikali. Hiyo ilimaanisha kwa kuwa familia yake haikuwa na uwezo basi ataendelea kukaa tu nyumbani.
Maisha yaliendelea na sasa dada yake alimshauri aende Tanga mjini ili aweze kumtafutia kozi ya kusoma ambayo baadaye itamwezesha kuajiriwa. Kwa kifupi alikuja Tanga kutafuta maisha kwa sababu hata hyo dada yake hakuwa na maisha mazuri zaidi ni upendo kuwa kwa kuwa ni ndugu wataweza kukaa pamoja na kusaidia. Husna ni rafiki yake ambaye walisoma naye lakini yeye alipomaliza tu alibahatika kuja mjini ambapo ndugu yake alikuwa na biashara ya kuuza mgahawa. Hivyo na huyo Husna hakuwa na maisha yoyote zaidi ni kuunga unga na kusaidiana na ndugu yake katika kusukuma gurudumu la maisha. Husna alishakuwa mwenyeji kwenye jiji hilo la Tanga na si haba umaridadi uficha umasikini kwani ukimwona huwezi kujua kama ni mwanamke ambaye hana mbele wala nyuma. Hadrath na Husna ni watu ambao wanapendana sana. Walipiga stori za hapa na pale kisha waliondoka na kwenda kwa dada yake na Husna.
Huko walikuta wateja wachahe hivyo waliamua kumsaidia vikazi vichache vilivyokuwepo. ****
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/37cA8Ij
No comments:
Post a Comment