SEH. 4 Huko walikuta wateja wachahe hivyo waliamua kumsaidia vikazi vichache vilivyokuwepo. Walipomaliza waliaga na kuanza kupuyanga huku na kule katika jiji hilo.Lengo lilikuwa ni kuangalia mandhari ya mji na kufurahisha maisha yao.Barabarani watu waliendelea kumshangaa Hadrath maana hakuwa msichana anayezoeleka machoni.Ukimwona tu kama ni mwanaume rijali basi lazima utageuka tu. Ni mwanamke ambaye alikuwa akishawishi sana machoni mwa wanadamu. Baadaye muda ulienda sana na ikawa fursa ingine ya Hadrath kurudi nyumbani. Alirudi na kumkuta dada yake amesharudi. Waliongea na dada yake alimweleza kuwa amepata chuo cha mambo ya utalii lakini kitaanza kuchukua wanafunzi mara baada ya miezi mitatu. Hivyo Hadrath ilimpasa kuwa mvumilivu kwa kipindi hicho.Hadrath alimsimulia pia dada yake kuwa mchana wa siku hiyo alikutana na mwanaume wa kiarabu na alimpa namba amtafute. Dada yake akamwambia hasilaze damu maana maisha mjini magumu. Hapo hapo Hadrath alinyanyua simu na kumpigia mwanaume yule wa kiarabu.*******
Simu iliita lakini haikupokelewa. Hadrath alisubiri kidogo labda mwanaueme huyo atapiga lakini wapi. Hadrath alikuwa ni mwanamke mwoga sana hivyo hakuona aja ya kumtafuta tena. Siku hiyo ikaisha na kesho yake waliendelea na ratiba za maisha ya kila siku. Bado pia siku hiyo mwanaume huyo hakumtafuta. Alistaajabu maana tayari alikuwa na shauku kumbwa ya kutaka kujua mwanaume huyo alikuwa akitaka nini. Siku tatu zilipita zaidi ndipo Hadrath aliamua kujitoa ufahamu na kumpigia. Siku hiyo simu yake ilipokelewa
“Helow mambo vipi?
“Mambo poa unaonge na Hadrath msichana uliyekutana naye juzi barabara ya 11”
“Oooooh mtoto mzuri una jina zuri kama umbo lako”
“Ulisema nikutafute ndo nimekutafuta hivyo”
“Jambo jema sana na hakika hutajutia.Ujue maisha ni kama duara na siku zote hujui rafiki wa kweli unaweza kukutana naye wapi. Kama hutojali naomba tuwe marafiki.
“Eeee urafiki tena unataka tuwe marafiki wa namna gani?”
“Urafiki wa namna yoyote kwani umeolewa?”
“Eeeh wewe kaka jamani mwenzio bado mdogo”
“Usijali nitakukuza”
****itaendelea
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2MBbYPQ
No comments:
Post a Comment