Friday, December 27, 2019

SIMULIZI YA KWELI : NIPENDE TENA 02





SEH.2  Ombi gani?” Hadrath alijibu kwa sauti yake ya mlegezo sauti nyororo sauti ya kudeka sauti ya kitoto sauti iliyokolezwa na kukurombezwa na mbwembwe za ujana.
Mwanaume huyo alifungua waleti yake na kutoa businesscard yake.Alikabidhi binti huyo na kumwambia “Ninaomba unitafute mrembo”.
“Kwa bahati mbaya huwa sina simu samahani kwa hilo”Hadrath alindelea kuonesha kuwa ni mwanamke mwenye thamani ambaye kamwe huwezi kumshawishi kirahisi hivyo.Mwarabu wa watu alitingisha kichwa na kutafakari kidogo. Alivuta kiburungutu cha fedha na kumkabidhi Hadrath.
“Hiyo utanunua simu na hakikisha unanitafuta”Mwarabu aliongea kwa upole na kuondoa gari kwa mwendo wa kasi.
Hadrath akabaki ameshangaa tu na hasielewe nini kimetokea. Aliziangalia zile pesa na haraka haraka alizisokomeza kwenye mkoba wake.
“Bahati ya mtende hiyo changamkia usishangae shangee” alisikika mmoja wa kijana ambaye alikuwa pembeni yake.
Hadrath alitabasamu hofu ikampungua na sasa alianza kupiga hatua kuelekea mbele. Hofu ilimwisha lakini taswira ya mwanaume wa kiarabu ambaye alioekana ni handsome na mtanashati iliendelea kumtawala. Hadrath ni miongoni mwa wanawake ambao walikuwa wakichanganywa sana na kuvutiwa na wanaume wa namna hiyo. Alipenda wanaume weupe na wenye nywele kwake yeye ni wanaume wa ndoto zake.  Alivutiwa naye ingawa aliogopa sana. Huyo alikunja kushoto na kuingia kwenye nyumba moja.
“Karibu shosti nilijua utapotea kumbe bado unapakumbuka.” “Asante Husna siwezi kupotea bwana hata nikakaa kijijini miaka mingapi.
Walifurahi na kuanza kupiga stori za hapa na pale. Hadrath hakusita kumueleza hicho alichokutana nacho njiani. Hakumwambia kama amepewa fedha lakini alimwambia amepewa namba amtafute au la.***ITAENDELEA..Watag waje.


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZwK0Kj

No comments:

Post a Comment