SEH.7 Baadaye Kareem alimwambia aende kweye friji akachague kinywaji anachokipenda yeye. Hadrath alaienda na kuchukua kinywaji. Kama hiyo haitoshi Karem alimkaribisha chakula alichokipika kwa mikono yake mwenyewe. Hii nayo ilimuongezea point mwanaume huyo na kumfanya aonekanae ni mwenye kujua kupika. Walikula na kufurahi pamoja.Baada ya hapo sasa Kareem alaimua kumrudisha nyumbani kwa dada yake. Hadrath akazidi kushangaa huyo ni mwanaume wa namna gani mwanaume ambaye anaonesha kw avitendo kuwa anampenda lakini hawakuwahi kumtamkia. Hii kitu ilikuwa ikimuumiza sana kisaikolojia kwa sababu alishindwa kuelewa huyo aliuwa ni mwanaume wa namna gani. Alitamani hata busu tu laki Kkareem hakufanya hivyo. Kwa kifupi alaikuwa akizinyanyasa hisia zake. “Nashukuru kwa kuja, asante sana Hadrath wangu, nakupenda” ilikuwa n isms iliyoingia mara baada ya yeye kuingia chumbani. Hadrath alaitabasamu tu na kushindwa kuelwa alipaswa kujibu nini.***
“Yaaani huyu mwanamke anaweza kuwa hanisi, au domo zege haiwezeanai tumekaa wote muda wote huo ameshindwa kunieleza kuwa ananipenda ila kwenye meseji anaweza.Alijiwazia Hadrath.
“Nakupenda pia Kareem wangu, nafurahi kupafahamu kwako”. Hdrath alijibu sms ile.
“Karibu tena pale ni kwako pia kuwa huru muda wowote.
Hadrath aliendelea na kuchati hapo na baadaye alimtafauta rafiki yake Husna na kumweeza kila kilichojiri. Husna alishangaa sana na kusema basi huyo mwanaume atakuwa bwambwa. Hadrath alicheka tu a hakutaka kuliamini hilo moja kwa moja. Hadrath aaiendelea kuwa bze na simu yake huku akiperuzi mitandaoni kwenye page za udaku****
Kwa mara ya kwanza alishuhudia kifua cha mwanaume huyo. Kifua kilimvutia sana na alifurahi kupata mwanaume aliejengeka vizuri misuli. Kifua cha mazoezi kilimfanya atamani kulala juu yake. Kareem alikuwa kifua wazi huku akiwa amevaa boxer tu iliyotuna vizuri sehemu zake za mbele. Alitanua vizuri mikono yake ili aweze kumkumbatia Hadrath. Macho ya Hadrath yalishatengeneza taswira nzuri ya kiungo cha siri. Alihisi kuwa kitakuwa kimejengeka vizuri kama zilivyo sehemu zingine
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/37maukx
No comments:
Post a Comment