Sunday, December 29, 2019

Simulizi: SONONEKO (01)






Simulizi: SONONEKO (01)


Mimi nilikuwa ni mlevi kwa kweli. Nilikuwa nazibugia bia kama vile niliambiwa kwamba viwanda vya kutengeneza bia vitafungwa hivi karibuni.
Na ninaamini kwamba mimi nilikuwa ni mmojawapo wa watu ambao walikuwa wakichangia kwa kiasi kikubwa kuvifanya viwanda hivi viendelee kuwepo.
Nikiwa ndio naimalizia bia yangu ya saba kwa usiku ule wa majira ya saa mbili ghafla macho yangu yalipigwa dafrao.
Hii ilikuwa ni baada ya kugongana na mrembo mmoja ambaye alikuwa amejipumzisha kwenye kona mojawapo ya baa ile baa huku akiendelea kupata kinywaji chake taratibu bila hata ya papara.
Alikuwa ni binti mzuri na mrembo mwenye rangi ya kiafrika inayovutia kuitazama. Umbile lake lilikuwa ni mithili ya wale wanawake ambao tumezoea kuwaona katika picha za sinema za kifilipino na kimexico.
Sura yake ilikuwa imetamalakiwa na uzuri wa shani ambao ni nasibu sana kuupata katika mazingira yetu haya ya kawaida. Kwa kifupi binti yule alikuwa ameumbika vya kutosha na aliukosha moyo wangu hasa.
Mwanaume nilijikakamua nikasimama na kinywaji changu na kumsogelea yule binti taratibu baada ya macho yangu kugundua kwamba katika meza ya yule mrembo palikuwa na kiti ambacho kilikuwa tupu.
Macho yangu hakika yalikuwa hatari sana kwa ukaguzi kwani yalikuwa yanafanya bila hata ya kuagizwa. Yalikuwa na kiherehere sana.
“Habari yako mrembo”. Nilimsabahi yule mrembo mara baada ya kujikohoza kinafiki kidogo kwa lengo la kuiweka sawa sauti yangu ambayo ilikuwa ni kivutio kikubwa cha warembo.
“Safi tu kaka”. Alijibu mrembo yule kwa sauti ambayo ilivisisimua viungo vyangu vyote vya mwili na kuvifanya vianze kupeana ushirikiano.
“Samahani naweza keti hapa?”. Nilimwuliza binti yule kwa sauti ya kuomboleza huku nikiwa nimemkazia macho yangu usoni mwake.
“Hakuna tatizo lolote, waweza keti tu”. Aliongea yule binti kwa sauti yake ile ile ya kumtoa nyoka pangoni.
Nilikivuta kile kiti na kuupachika mwili wangu juu yake. Macho yangu yaliendelea kuitalii sura ya malaika yule. Kuna kitu ambacho macho yangu haya mambea yalikuja kukigundua baadaye kidogo.
Binti huyu alikuwa na macho makubwa, meupe na malegevu utadhani katika maisha yake chakula chake ni kungu.
Pia mashavu yake yalikuwa na vijidimbwi vidogovidogo ambavyo wataalamu wa masuala haya ya mapenzi huviita “dimples”.
Vijidimbwi hivi ndivyo vilikuwa ugonjwa wangu mkubwa.
“Naitwa Stanley ni mkazi mwenyeji wa jiji hili la Kano”. Nilianza kujitambulisha hata kabla sijaulizwa.
Ninafahamu ukikutana na mtoto mzuri kama huyu ni lazima uanze mashambulizi wewe kwanza kwani warembo aina hii wengi wao huwa wamejawa na aibu.
“Mimi naitwa Maggie na ninashukuru sana kukufahamu”.
Mh! Kumbe mambo yalikuwa tofauti na ambavyo nilikuwa ninafikiri mimi. Binti huyu alionekana dhahiri kwamba alikuwa ni muongeaji kupita kiasi na alikuwa ni mchangamfu pia.
“Oooooooh! Jina lako ni zuri hakika na linasadifiana hasa na uzuri ambao unaumiliki”. Niliendelea na mashambulizi yangu taratibu pasi na haraka wala papara.
“He he he he he! Jamani wewe, ni kweli hayo uyasemayo au wanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?” Mrembo yule alicheka na kuniuliza kwa sauti yake ile ile ya kimahaba.
“Wewe ni mzuri sana Maggie. Nimetembea sehemu mbalimbali lakini sijawahi kumwona mwanamke mwenye uzuri mithili yako. Kweli Mungu kakupa upendeleo wa pekee katika uumbaji”. Niliongea kwa kumsifu ikiwa ni hatua yangu ya mwanzo kabisa katika kurusha kete zangu kwa mrembo yule.
“Ahsante sana Stanley”. Alinijibu mrembo yule huku macho yake akiwa ameyalegeza kidogo sasa sijui ni kwa ajili ya ulevi au ni makusudi tu.
Mazungumzo yetu yaliendelea huku tukiwa tunataniana na kufurahi sana. Mimi sikutaka kumweka wazi bayana kwamba nilikuwa sijiwezi juu yake kwani angeniona kwamba mimi sijatulia.
Nilijaribu kuweka mazingira mazuri ya yeye kunikumbuka hata akiwa mbali na mimi. Hii ilikuwa ni mojawapo ya mbinu zangu hatari sana katika suala la utongozaji.
Nje hali ya hewa ilianza kuchafuka. Mvua ilianza kunyesha ghafla jambo ambalo lilivuruga utaratibu wa walio wengi.
Wengi wao walianza kuondoka pale baa kwa minajili ya kuwahi majumbani kwao kabla ya mvua kuwafungia kwani kwa wakati ule yalikuwa yakidondoka matone machache sana.
“Stanley nashukuru kwa ukarimu wako. Mimi nataka kwenda nyumbani kwani nilianika nguo nje hivyo nisipowahi, zaweza loa”. Aliongea Maggie akiniaga.
“Usijali Maggie, hata mimi mwenyewe naondoka sasa kwani wakati nao umekwenda sana”. Nami nilimjibu kuonesha kwamba nilikuwa katika hatihati za kuondoka.
Nililipa gharama za vinywaji vyote na tukaanza safari ya kuondoka kuelekea makwetu tukiikimbia mvua ambayo ilionekana kuwa ni kubwa sana.
Bahati nzuri uelekeo tuliokuwa tukielekea ulikuwa ni mmoja lakini hata kama uelekeo usingekuwa mmoja ni lazima ningetengeneza safari ya ghafla kuelekea uelekeo wa mrembo yule ili mradu nimpe kampani.
Tukiwa katikati ya safari yetu mvua kubwa sana ilianza kunyesha. Ilituchapa na tukachapika haswa. Maungo ya yule mrembo yalikuwa na mvuto wa kimahaba sana katika mwonekano ule wa kulowa kwani ulizifanya nguo zake kushikamana.
Hisia za kimapenzi toka nafsini mwangu zikamsababisha mjomba katika suruali yangu aanze kukasirika kwa ghafla.
Nilijaribu kumdhibiti kwa kuiingiza mikono yangu katika mifuko ya suruali yangu na kumkaba haswa haswa ili aache upuuzi wake aliokuwa anataka aanze kuufanya.
Baada ya mwendo wa dakika ishirini kwa miguu hatimaye tukafika nyumbani kwa mrembo yule.
“Stanley mimi naishi hapa. Nashukuru sana kwa kampani yako”. Aliongea mrembo yule mara baada ya kunionesha ile nyumba aliyokuwa anaishi.
“Nashukuru sana kupafahamu. Haya mimi naendelea na safari yangu. Usiku mwema lala salama”. Nilimjibu yule mrembo lakini hali ya hewa ilizidi kuwa mbaya sana. Mvua ilizidi kuchanganya na kunifanya niingiwe na uoga.
“Sasa utafikaje na mvua hii Konzo?. Karibu basi ndani ujifiche kidogo ili mvua ipungue”. Maggie aliongea kwa sauti ya kusisitiza.
Sikuamini kama ni mimi ambaye nilikuwa nimeipata nafsi ile adimu kabisa. Ninafasi adhimu ambayo nilikuwa naiomba kwa muda wote ipate kutokea.
“Ahsante sana lakini nahisi nitakuwa nakuboa mtoto mzuri kwa jinsi nilivyoloa”. Nilijaribu kutoa utetezi wangu wa uongo ili nisionekane kwamba mimi ni rahisi sana kwa mrembo yule.
“Usijali Stanley wala hautokuwa kero kwangu. Nakukaribisha kutoka moyoni”. Aliendelea kusisitiza yule mrembo.
Mimi nikaona basi na isiwe tabu. Mzee mzima nikazama ndani kwa yule binti malaika ambaye bahati ya kukutana naye iliniangukia mimi leo.
Ilikuwa ni nyumba nzuri ya kawaida. Mle ndani mlikuwa mmesheheni samani za thamani sana ambazo ziliifanya nyumba ile ipendeze sana.
“Karibu sana Stanley na jisikie kama uko kwako vile”.
Mh! Sentensi hii ya huyu binti ilinipa utata kidogo na kuzua maswali mengi sana katika kichwa changu. Aliniambia nijisikie kama niko nyumbani kwangu vile Mh! Alikuwa anamaanisha nini.
Jamani akili zetu sisi wanaume mara nyingine huwa zinakuwa fupi sana. Ukioneshwa ukarimu kidogo na msichana basi wahisi tayari amekupenda huyo.
Maggie aliingia katika chumba ambacho nahisi kilikuwa ni chumba chake cha kulala.
Baada ya kama dakika tano hivi alitoka huku akiwa ameshika taulo pamoja na fulana mkononi huku yeye akiwa katika vazi la kulalia.
Vazi hili lilimfanya Maggie aonekane kwamba hakika yaye alikuwa ni malkia wa uzuri hapa duniani.
Chuchu zake zilikuwa zimechongoka na kuleta hisia kali za kimapenzi. Umbile lake ndo lilisababisha mjomba achachamae na kutengeneza uvimbe fulani mbele ya suruali yangu.
Macho ya Maggie yalitua moja kwa moja juu ya suruali yangu. Aliachia tabasamu moja tamu sana ambalo liliihamisha akili yangu kwa kweli.
“Pole Stanley” Maggie aliongea baada ya kuigundua hali ambayo ilikuwa ikinisibu kwa wakati ule. Kwani nilikuwa katika hali mbaya sana.
“Ahsante kawaida tu”. Nilijibu huku nikiikwepesha sura yangu kwa aibu kubwa sana hasa nilipoona yule mrembo kanibaini kwamba nilikuwa taabani kabisa kimahaba.
“Badili basi hizo nguo mi naja muda si mrefu”. Aliniambia Maggie huku akinikabidhi zile nguo na kisha yeye akaingia kule chumbani kwake.
Nilizipokea zile nguo kisha nikazichojoa zile zangu ambazo zilikuwa zimeloa na kuanza kuvaa lile taulo pamoja na fulana ambazo nilikabidhidhiwa na Maggie.
Baada ya kubadili zile nguo nilikaa juu ya sofa pale sebuleni kwa Maggie.
Niliichukua simu yangu na kuanza kuandika ujumbe mfupi wa maneno. “Mambo vipi mke wangu mpenzi. Leo nitashindwa kurudi nyumbani kwani nimefungiwa na mvua. Niko kwa rafiki yangu Morris”.
Baada ya muda kidogo simu yangu ilipokea ujumbe kutoka kwa mke wangu uliosomeka hivi “Haya mume wangu mpenzi lakini kuwa makini. Msalimie sana shem”
Ujumbe ule uliniuma sana kwani mimi nilikuwa ni msaliti mkubwa sana katika ndoa yangu na mara zote mke wangu amekuwa akinionya huku akiwa na huzuni sana kwani hakika nilikuwa nikimtesa sana kwa usaliti wangu.
*****************
Usikose sehemu ya 02 ya simulizi hii ya kusisimua


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Q77X7L

No comments:

Post a Comment