Natambua kuwa weekend ndio wenza mnakuwa na muda wa kutoka out, kutembelea ndugu na jamaa, au kukaa nyumbanj mkaongea na kushauriana mambo yenu ya mapenzi.
Mwanamke chukua muda huo adimu na adhimu kurutubisha penzi lako, kulipalilia na kulitilia mbolea ili kumziba macho na masikio ili aendelee kukuona wewe ndio mwanamke unaemfaa.
Sasa wengine wakikaa na wenza wao mashtaka yanaanza, Wifi alifanya hivi, mwanao siku mbili hakwenda shule, jirani kanunua sofa na sie tununue, n.k
Au ndio unaanza kumsema EX wako kwa uzuri au kwa ubaya
ooh baba watoto wangu alikuwa hataki kutoka nami.
Yule mtalaka wangu alikuwa ananinunulia nguo kila mwezi,
Baba Fulani alikuwa anamsaidia sana mama yangu.
Unamuona mwanaume anavaa suruali anatoka.
Hata kama hakuwa na safari.
Hujitambui
Masuala ya family we ndio waziri wa mambo ya ndani unatakiwa uyamalize huko.
Masuala ya EX wako yanakujaje hapa jamani
Wanaume nao hupenda kuongea masuala ya EX wao pia tena akianza kumkandia unatamani umuone alivyo.
Ninavyofahamu Mimi kumuongelea EX wako ni kwamba bado unampenda sasa unaweza haribu kwa huyu uliyenae usipoangalia.
Tumieni vyema weekend kwa kupeana maneno mazuri asiwepo mmoja wenu akajutia kuwa na mwenzie.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2sKvBxR
No comments:
Post a Comment