Ilipoishia.. Sehemu ya tatu Ulikuwa ni usiku mrefu sana kwa isack, kila alipofumba macho na kujaribu
kutafuta usingizi picha ya msichana mrembo Mage akiwa katika nguo nyeupe ya ndani ikamjia kichwani na kumfanya ashindwe kulala.
“Mage ananipa wazimu na kunifanya nikose usingizi. Hapana siwezi kuendelea kuteseka namna hii wakati uwezo wa kumueleza ukweli ninao. Lazima nimeueleze ukweli haraka iwezekanavyo kabla ya watu wengine hawajaitumia nafasi hii ya Naomi kuachana na bwana wake kuwa karibu.
Songaaa nayoooo…. Ninampenda mage na siwezi kuendelea kuumia kwa kukosa usingizi kila siku kwa
kumuwaza yeye. Lazima nitafute nafasi ili niweze kumueleza ukweli wa hisia zangu.” akawaza Isack huku akijigeuza na kugeukia upande wa pili.
” Kwanza kabla sijamtamkia lolote ninatakiwa kuanza kujenga mazoea naye ya karibu. Ngoja kwanza nianze kwa kutengeneza urafiki mkubwa kati yangu naye na baada ya urafiki wetu kukomaa ndipo nitakapoitumia nafasi hii kumtamkia kila la moyoni.” Isack akatabasamu baada ya kuwaza vile ” This is a good idea natakiwa kwanza kujenga urafiki na kumuacha anizoee na hiyo itanipa nafasi nzuri ya kuweza kumfahamu Mage vizuri zaidi. Pamoja na kwamba ninampenda na nina uhakika kwamba hana zile tabia mbaya zinazomuharibia sifa yake lakini ninatakiwa kumfahamu undani wake,zile tabia zake za ndani ambazo si rahisi kuonekana kirahisi machoni pa watu.” akaendelea kuwaza Isack safari hii akainuka na kukaa kitandani.
” Kuanzia kesho nitaanza kuweka ukaribu mkubwa. Nashukuru Mungu kwamba mwanzo nilioanza nao ni mzuri sana mage ameingia kwangu kwa mara ya kwanza na kuniletea nyama ya kuku. Kwa vile yeye leo ameniletea kuku na mimi kesho itanibidi kutafuta zawadi ya kumpelekea wakati nikirudisha chombo
chake. Nikiweza kumfurahisha mara mbili tatu basi tayari kutakuwa na mazoea na hapo ndipo nitakapoanza kumuomba kutoka naye kwenda kupata chakula cha usiku kama atakuwa na
nafasi.
Nataka kumfanyia mambo yale ambayo hakuwa akiyapata kwa yule kijana, mage ni msichana mzuri na anahitaji kuwa na mwanaume ambaye atamtunza na kumfanya azidi kung’aa na kuwa mrembo zaidi, mwanaume ambaye atamthamini na kumjali, mwanaume ambaye atampa raha zote za dunia hii na kumfanya ajione kama malkia wa dunia. Ninastahili kuwa na mage sababu nina uwezo wa kumpatia hayo yote. Nina uwezo wa kumtunza, kumjali na kumthamini. Nina uwezo wa kumpa kila aina ya raha za dunia kwa sababu ninampenda na niko tayari kufanya lolote kwa ajili yake. Moyo wangu haunidanganyi
kwamba mage ndiye msichana pekee ambaye ananifaa.
Msichana mrembo, na mwenye heshima na adabu tele. kama sifa zote anazo binti huyu kwa nini basi nimkose wakati siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anipe msichana mrembo kama mage? Nadhani Mungu ameamua kunijibu maombi yangu na kunipa macho ya kuona. Mungu ana njia zake za kukupa kitu na si mpaka amtume malaika kukuletea barua kwamba msichana anayekufaa ni mage” akawaza isack na kujilaza tena kitandani akijaribu kufumba macho ili aone kama anaweza akapata usingizi.
Picha ya umbo zuri la mage ikamjia tena kichwani. Akafumbua macho na kutabasamu kisha akavuta pumzi ndefu. Wakati isack akihangaika kuupata usingizi ,chumba kilichofuata baada ya chumba
chake, msichana mrembo mage ambaye uzuri wake uliwachanganya na kuwavutia wanaume
wengi kama vile ua lenye asali tamu linavyowavuta nyuki wengi alikuwa amejiegesha kitandani baada ya kuukosa usingizi.
Usiku huu alikuwa amevaa nguo laini za kulalia akiwa ameuweka mto wa kitanda katika mapaja yake
na mikono akaiegemeza katika mto huo. Alikuwa katika mawazo mengi sana kiasi cha kukosa usingizi. Muda mrefu amekuwa akijaribu kuutafuta usingizi lakini alishindwa hata kufumba jicho kutokana na mawazo mengi aliyokuwa nayo, ikamlazimu kuinuka na kukaa kitandani.
“Siamini kama yule kijana ameondoka nyumbani kwangu. Namshukuru sana isack kama si yeye na balozi Mwapa, yule jamaa katu asingeondoka kwangu. Alikwisha goma kutoka humu. Kuna nyakati najiuliza ni kwa nini nilijiingiza katika mapenzi na yule kijana. Kweli penzi ni upofu na mimi nilipofuka macho kutokana na penzi la kijana yule na sikuona wala kusikia la mtu. Sijui alinipa nini kiasi cha kumkubalia kumpa mwili wangu auchezee. Sikujua kwamba huko mtaani watu walikuwa wakainicheka na kunishangaa msichana mrembo kama mimi kuishi na kijana mvuta bangi kama yule.Nahisi kuna kitu alinipa ili nisiweze kuona chochote na kumuacha aendelee kujifaidisha kwa kutumia mgongo
wangu. Nilipoteza dira na mwelekeo mzima wa maisha yangu. Sikuwa na mawazo yoyote kuhusu
kesho wala maisha yangu ya baadae. Kila pesa niliyokuwa nikiipata ilitoweka bila habari. Naujutia muda wangu nilioupoteza kwa kijana yule asiyekuwa na mbele wala nyuma. Kijana asiyekuwa na ndoto za
maendeleo, kijana ambaye anawaza leo na hajui kama kuna kesho. I was so stupid so stupid.
Katika maisha yangu ninajuta sana kuamua kuishi na kijana kama yule muhuni ambaye hana hata chembe moja ya heshima kwa mtu yeyote yule.. Pesa zangu alizitumia kunywea pombe ,kuvuta sigara na bangi na kuwahonga wanawake ..ouh kwa nini nilikuwa mjinga kiasi hiki? Nimekwisha aibika vya kutosha na sijui hata heshima yangu itarejea vipi.” akawaza Mage na kwa mbali machozi ya majuto yakamtoka.
Alikijutia kitendo cha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana yule aliyeachana naye. “Ninachomshukuru Mungu ni kwamba nilijitahidi sana kujizuia kuzaa na kichaa yule. Pamoja na yote yaliyotokea bado sijachelewa. Bado ninayo nafasi ya kuweza kuyatengeza upya maisha yangu yaliyopoteza mwelekeo. Nitaanza kwanza kwa kujijenga kiuchumi ,kutumua pesa ninayopata vizuri na
kujaribu kuanzisha hata biashara yoyote ndogo ambayo inanisaidia kuongeza kipato. Nikishafanikiwa kuanzisha biashara yangu nitaweza kuchukua hata mkopo katika taasisi za fedha na nikiikuza biashara yangu na baadae nikisha kuwa na mtaji mkubwa nitatafuta kiwanja nijenge nyumba yangu hata ndogo na kuondokana na nyumba hizi za kupanga na baada ya hapo nitaanza tena kutafuta mwanaume ambaye atanifaa maishani.
Siwezi sema eti kwamba sintapenda tena kama wengi wanaotendwa na wanaume zao walivyozoea kusema. Nikisema hivyo nitakuwa sijitendei haki mimi mwenyewe wala moyo wangu. Nahitaji mwanaume wa maisha yangu ambaye nitampenda na kuishi naye kwa raha furaha na amani hadi nitakapofika uzee. Nahitaji mwanaume ambaye atanipenda atanithamini na kunijali,mwanaume ambaye nitampenda na kumuamini, mwanaume ambaye nitajenga naye familia yenye furaha na upendo
mkubwa.
Kumpata mwanaume wa sifa hizi sihitaji kukurupuka. Ninahitaji muda wa kutosha na zaidi sana kumshirikisha Mungu ili aweze kuniletea mwanaume ambaye atanifaa maishani mwangu. Nahitaji kumpata mwanaume aliye na tabia kama za isac. Kaka yule ananivutia sana kwa tabia zake. Ni mpole,ana heshima, anapenda watu, na anapendwa na kila mtu. Anajipenda na ni mtu mwenye kujituma katika kujitafutia maendeleo. Nitafurahi kama ningepata kijana kama yule” akawaza naomi na mara sura ya
Isack ikamjia kichwani akajikuta akitabasamu.
“Nahisi kuanza kuvutiwa kuwa karibu na Isack. Sikuwa nimegundua kwamba isack ni kijana mcheshi na ambaye hachoshi kuwa naye karibu.Toka nimehamia katika nyumba hii isack alionyesha kutaka kujenga mazoea na ukaribu fulani na mimi lakini nilikuwa nikimkwepa kwa sababu ya yule kichaa. Sikumpa nafasi hata ya dakika mbili ya kuongea na mimi. Laiti ningejua kama ni kijana mcheshi kama nilivyomshuhudia
leo basi ningekuwa naye karibu sana. Sijui kitu gani kilinisukuma mpaka nikapata ujasiri wa kwenda kwake. Kwa upande fulani ninasikia aibu sana kila nikimtazama usoni kwa jinsi alivyonikuta nikiwa na nguo za ndani alipokuja kuamua ugomvi wangu na yule kichaa.
Nakumbuka alishtuka sana baada ya kutukuta namna ile na alitaka kurudi lakini ni
mimi mwenyewe ndiye niliyemsihi asiondoke na anisaidie kutoka katika mikono ya kichaa yule. Baada ya ugomvi ule nilisikia aibu sana.Sikutegemea kama siku moja isack angekuja kuniona nikiwa namna ile. Kweli shida haina adabu hata kidogo.” Mage akajigeuza na kuendelea kuwaza huku akitabasamu
“Pamoja na yote yaliyotokea nitajaribu kuanza kujenga mazoea na isack ambaye nahisi kuanza kuvutiwa naye ghafla. Sijui ni kwa nini moyo wangu umekuwa mwepesi namna hii kwake hata baada ya kujiapiza kwamba itanichukua muda kumuhitaji mwanaume mwingine. Lakini kwa jinsi ninavyomfahamu isack yuko tofauti sana na wanaume wengine walaghai kama yule niliyekuwa naye. Toka nimehamia hapa sijawahi kumuona hata mara moja isack ameleta msichana hapa nyumbani kwake .Labda kama
anao huwa anakutana nao huko mbali na si hapa. Anajiheshimu sana huyu kaka na ndiyo maana ninajikuta nikivutiwa kuwa naye karibu. Nitajaribu kuwa naye karibu ili niweze kumchunguza na kumfahamu kiundani. Nataka kufahamu chimbuko lake,nataka kufahamu maisha yake,vitu anavyopenda, vitu asivyopenda na kikubwa zaidi nataka kufahamu kama ana mchumba au hana. Kama hana mchumba basi anaweza akanifaa sana. Ana kila sifa ya mwanaume ninayemuhitaji kwa sasa. Sina haja ya kwenda mbali kutafuta mawe wakati dhahabu ninayo hapa hapa karibu.” akawaza mage huku
akitabasamu halafu akajifunika shuka na kujaribu kutafuta usingizi kwani muda ulikuwa
umekwenda sana.
Siku ya pili ni siku iliyoanza kwa uzuri. Jua lilichomoza asubuhi na mapema na kuashiria uzuri wa siku hiyo. isack alidamka asubuhi na mapema akafanya mazoezi mepesi ya viungo na kisha akaoga halafu akawahi kazini kwake. Hakuonana na mage asubuhi hii japo alitaka sana aione sura ya mrembo yule mwenye kuvutia lakini aliwahi kuondoka kabla mage hajaamka.
“Nitajitahidi nionane naye jioni ya leo. Kwa kuwa yeye jana alikuja kwangu leo nitakwenda kwake na zawadi ili nipate walau nafasi ya kubadilishana naye mawazo mawili matatu.” akawaza isack akiwa njiani kuelekea kazini.
Siku ilikwenda vizuri na kila mtu alishangaa kwa jinsi isack alivyokuwa na furaha siku hii ya leo. Hatimaye muda wa kazi ukaisha na isack akaanza safari ya kurejea nyumbani kwake. Mida hiyo ilipata saa kumi na mbili za jioni. Alipita katika sehemu moja ambayo hutengeneza nyama safi ya kuku na kununua kuku mzima aliyekaangwa vizuri kisha akafungwa na kuanza safari ya kuelekea
nyumbani kwake.
Alipofika nyumbani akaingia chumbani mwake akajimwagia maji na kisha akavaa nguo zake nyepesi za jioni halafu, akajipulizia uturi uliomfanya anukie vyema kisha akaitazama saa yake ya ukutani iliyoonyesha mida hiyo ilipata saa mbili kasoro.
“Huu ni muda muafaka kabisa kwenda kwake. Haitapendeza kama nikienda zaidi ya saa mbili za usiku.” akawaza isack huku akichukua nyama ile ya kuku na kuifunga vizuri katika chombo ambacho alikitumia mage siku iliyotangulia kumletea nyama. Akajitazama tena kuanzia juu hadi chini kisha akaufungua mlango wake akatoka na kutembea taratibu kuelekea katika mlango wa Naomi akagonga halafu
akasubiri mlango ufunguliwe. Mara mlango ukafunguliwa na mage ambaye alikuwa na tabasamu zito baada ya kumuona isack.
“Ouh isack.. karibu sana.. Habari za leo? akasema mage
” Habari za leo nzuri sana. Umeshindaje ? akauliza isack
” Nimeshinda salama isack. Karibu ndani” Mage akamkaribisha ndani isack na mara tu alipotaka kuinua mguu wake kuingia ndani akakutanisha macho na mwanaume mmoja mnene aliyekuwa amekaa katika sofa. isack akasita kuingia na kumkabidhi mage ule mfuko uliokuwa na nyama ya kuku ambayo alitegemea angekula yeye na mage
“mage nimerudisha kile chombo cha jana.” akasema isack
“Ouh Ahsante sana isack Kwa hiyo hutaki hata kuingia ndani? akasema mage
” Hapana mage. Kuna kazi ninafanya hapo ndani” akasema isack na kuagana na Mage akarejea chumbani kwake na kujitupa katika sofa.
” Aaaaghhhhh………..!!! Akasema isack kwa hasira huku akiipiga mikono yake katika sofa.
” Nimefanya nini? Nimejidanganya sana kumbe mage ana bwana mwingine ! Nimekesha nikimuwaza lakini kumbe ninakesha bure…mtu ninayemuwaza tayari ana mtu mwingine. Yaani kaachana na bwanake jana tu lakini leo tayari kaleta mwanaume mwingine.Wanawake !!!!!!……..” Akawaza isack
akiwa amenyong’onyea .
“Inawezekana ni tabia yake ya kuwabadilisha wanaume na kwa sasa ambapo hana mtu wa kumdhibiti basi atakuwa akiwabadilisha kila siku. Nashukuru nimeling’amua hilo mapema ama sivyo ningepoteza mwelekeo kabisa kwa kudhani kwamba nimepata dhahabu kumbe ni mwamba wa kujengea msingi” isack akapumua kwa nguvu na kujilaza pale sofani. Tayari siku yake iliyoanza vizuri na kwa furaha ilikuwa
imeharibika.
“Sitaki mazoea naye tena mwanamke huyu. Ninahisi huyu ni bwana wake na wako naye muda mrefu toka akiwa na yule kijana waliyeachana lakini hakuwa akimleta huku kwa kumuhofia bwana wake.” aliendelea kuumiza kichwa isack kwa mawazo.
“Ndiyo maana siku zote na mkubali sana huyu mwanamuziki anajiita mwanafalsafa. Kuna mistari ya wimbo wake wa bado nipo nipo ninaipenda sana. Alisema ” Hata nikitaka kuoa niambie nitamuoa nani. Watu wana watu wao wengine toka zamani. Ukiambiwa wewe ni boyfriend haimaanishi uko peke yako.. wadogo usoni wanahifadhi wazee wako….. ” hapa mwanafa aliimba mambo ya kweli kabisa. Hawa mabinti wa siku hizi sijui ni kwa nini wamekuwa namna hii.”Akazidi kuwaza isack akiwa ameukunja uso wake kwa hasira.
“Sijui kwa nini nimempa kuku wangu mzima na mimi kukosa kitu cha kula kwa usiku huu. I’m so stupid kwa sababu nimempa mwanamke kuku mzima ambaye atamla na mwanaume mwenzangu. Du ! sijawahi kufanya ujinga wa namna hii.. I’m so stupid” akasema Isack huku akijipiga kichwa kwa mikono yake halafu akainuka na kuelekea jikoni kuangalia ni kitu gani ambacho angeweza kula kwa usiku
huo. Hakuona kitu chochote cha kula hivyo ikamlazimu kuvaa viatu na kutoka kwenda
kutafuta kitu cha kula. Alikuwa amechukia sana. Isack alikwenda sehemu wanakouza chakula akaagiza chips na kuendelea kula lakni mawazo yake yote yakiwa kwa mage Kabla hajamaliza kula ikangai meseji katika simu yake Akaichukua na kuisoma. Ilitoka kwa Mage .Akasonya na kisha akaifungua na kuanza
kuisoma
“Isack umetoka? Nimekuja kugonga mlangoni kwako ili tupate chakula wote lakini sijajibiwa.Kama uko ndani njoo huku kwangu nimepika chakula tule wote” isacka kairudia tena kuisoma meseji ile akatafakari kisha akaamua kutokuijibu.
Alipomaliza kula akaanza safari ya kurejea nyumbani kwake. Mlango wa chumba cha mage ulikuwa wazi lakini hakuwa na hamu hata ya kutaka kuchungulia ndani. Moja kwa moja akaenda chumbani kwake na kuufunga mlango akapanda kitandani kulala kwani tayari siku yake ilikwsha haribika…

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2DHVsss
No comments:
Post a Comment