SMULIZI MPYA: HOUSEGIRL WA KITANGA
MTUNZI : KIZARO MWAKOBA
SEHEMU YA TATU (3)
ILIPOISHIA
“Kumbe unaitwa nani vile?” alihoji mama yule huku akinichekea chekea
“Mwantumu au Tumu” nilijibu.
“Unatokea wapi?”
“Tanganyika” nilijibu kwa kifupi.
Jibu langu lilionekana kumchanganya mama Yule. Akatulia kwa sekunde kadhaa huku machp yake akiwa ameyakazia aldhini. Alipoinuka akahoji tena.
“Tanganyika ndio wapi?”
“Kijiji chetu kinaitwa Tanganyika”
“Ni mkoa gani?” Mama Yule wa kinyakyusa alizidi kuhoji maswali ambayo nikahisi yakianza kunikera.
“Tanga” Nikajibu kwa ufupi.
“Mnh! kwahiyo wewe ni binti wa kitanga?” alihoji mama yule huku akitabasamu.
Sikumjibu kitu zaidi ya kucheka tu huku nikiwa nimeinamia chini kwa aibu.
“Watokea Tanga mapenzi yaliko zaliwa, inabidi uje unipe somo na mimi niwe fundi” Bupe alizungumza na kuondoka huku akicheka cheka kama mwehu. Wala hakuwa amenifurahisha na vile vineno vyake vya ajabu ajabu. Heti natokea Tanga mapenzi yaliko zaliwa. Mara Ooh nije namimi unipe somo niwe fundi, Kwani mimi ndio somo wa mapenzi? Mtu mzima Hovyoo!” Nilizungumza pekeyangu huku nikifunga geti.
ENDELEA
****
Kama ambavyo nilikuwa nimeagizwa na Bi.Fatma. Nilikuwa nimeandaa chakula cha jioni mapema sana. Jioni ile mama alikuwa amekuja na msichana mmoja ambaye alikuwa ni mtoto wa dada wa mume wake Sekiza. Jina la msichana yule lilikuwa ni Mainaya.
Mwenyewe alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la simu la VODACOM. Mara kwa mara alikuwa anakuja pale nyumbani kwa mjomba wake kusalimia.
Ingawa Mainaya alikuwa bado hajaolewa lakini umri wake ulikuwa ni mkubwa kuliko umri wa Fadhili. Mainaya alikuwa amepishana kidogo sana na kaka Imran. Hivyo umri wake ulikuwa upo kati ya umri wa Fadhili na wa kaka Imran.
Mainaya alikuwa ni muongeaji kuliko hata alivyokuwa Fadhili. Naweza nikasema alikuwa ni mcheshi kupitiliza. Ndugu zake walikuwa wanampenda sana binamu yao huyo. Mara nyingi walipokuwa pamoja hawakuogopana kuzungumzia jambo lolote.
Baada ya kumaliza kula chakula cha jioni, mama na baba walikwenda chumbani kwao kupumzika. Pale sittingroom tulibakia mimi, Fadhili, kaka Imran, pamoja na dada Mainaya. Tulikuwa tukitazama tamthiliya kwenye runinga huku Mainaya na Fadhili wakituchekesha kila mara. Uwepo wa Mainaya ulipoungana na uwepo wa Fadhili pale ndani, hakika nyumba ilichangamka.
Mara kwa nara macho yangu yaligongana na macho ya kaka Imrani ambaye niligundua tofauti kwenye sura yake. Alikuwa akinitazama kama vile kulikuwa na kitu anataka kuniuliza lakini aliwahofia ndugu zake. Nikajitahidi sana kukwepesha macho yangu kukutana na yakwake. Kwanza nilikuwa nikimuogopa sana hata sikujua ni kwanini. Halafu vile vinguo vyake vya ajabu ajabu alivyokuwa ameniletea havikunipendeza moyoni hata kidogo.
Uchovu ulinifanya nianze kusinzia pale kwenye kochi nilipokuwa nimekaa. kwakuwa tamthiliya iliyokuwa ikiendelea ilikuwa imeninogea, nilijivuta na kujilaza kwenye kochi huku nikitazama runinga. Usingizi mwanaharamu jamani, ulinichukua pasipo kujitambua palepale kwenye kochi.
“Vipi Mwantumu amelala nini?” nilishituka usingizini baada ya kusikia jina langu likitajwa na Mainaya, hata hivyo sikufumbua macho nikajifanya bado nimelala.
“Sasa si akalale ndani” alisema Fadhili kwa sauti yake ya ucheshi ambayo iliniburudisha sana.
“Ah! mwacheni bwana apumzike, usingizi wa sebleni unanoga kuliko wa chumbani” nikamsikia kaka Imrani akitoa hoja yake.
“Shangazi naye ameanzaje kuleta mrembo kwenye nyumba yenye midume mitupu, tena haijaoa” alisema Mainaya kwa masihara.
“Mrembo wapi! kitoto tu hicho” alisema Fadhili kwa dharau.
Safari hii maneno ya Fadhili hayakuwa yameninogea, heti mimi nilikuwa katoto. Alinikera sana ndugu msomaji nisikufiche.
“Kitoto! wewe si ndiye unayesema. Pengine hapo alipo hana kitu” alisema Mainaya maneno ambayo sikuyaelewa. Hata hivyo sikufumbua macho, nikajifanya kujigeuza na kupumua kwanguvu utafikiri nilikuwa kwenye usingizi mzito.
“Hilo ni umbo tu Sister, hicho bado kinanuka mkojo” Fadhili alizidi kutetea hoja yake kwa kuzungumza maneno ya shombo. Hapo sasa ndipo nikabaini sababu ya Fadhili kuto kunitongoza ingawa nilikuwa nikijitahidi kumuonesha kuwa nampenda.
“Sikia mdogo wangu, sikuhizi hakuna watoto. Tena kwa binti mrembo kama huyu sidhani kama huko kijijini kwao watakuwa wamemuacha salama” Mainaya naye alizidi kunikomaza mtoto wa mwanamke mwenzie.
“Aisee mimi sikubaliani na wewe hata kidogo. Kitoto cha watu kinaonekana hakijui hata kufua nguo yake ya ndani” Fadhili alizungumza maneno mabaya nyie. Sasa si dharau hizi? heti nilikuwa sijui hata kufua kufuli langu. Mnh! haya bwana. Mtoto wa kike nikaendelea kula jiwe pale kwenye kochi.
“Heti kaka Imrani mwenzetu we unasemaje?” Mainaya alimhusisha kaka Imrani ambaye muda wote alikuwa kimya akiwasikiliza.
“Japo ni kadogo lakini kanalika” kaka Imrani alitoa jibu ambalo sikulitegemea.
“Utakalaje haka jamani kananuka shombo?” alisema Fadhili.
“Unakatia ndimu na pilipili kibao, shombo lote linakata” alisema kaka Imrani na kuwafanya Mainaya na Fadhili kuangua kicheko. Nilikuwa namuona kaka Imran sio muongeaji kumbe akiwa kwenye anga zake alikuwa ni hatari! Ingawa alikuwa akitoa moja moja lakini yalikuwa ni madongo ya uhakika.
“Umeona kaka Imran. Yaani huyu mtoto akipata viwalo vya kimjinimjini na matunzo mazuri. Wenywe humu ndani mtakimbizana” alisema Mainaya na kuwafanya Fadhili na kaka Imrani kuangua vicheko. Hata sijui walikuwa wanacheka nini maana mimi nilikuwa sielewi utumbo wao waliokuwa wanauzungumza.
“Mimi nawaambia hata kama kaweje sikatongozi, haka” Kaka Fadhili alimalizia kicheko chake kwa maneno yake ambayo mimi niliyaona yamejaa kejeli na dharau. Ndugu msomaji usiombe kupokea maneno ya kejeli, dharau na kashfa kutoka kwa mtu ambaye unampenda. Niliumia sana usiku ule.
“Jamani hebu muamsheni akalale ndani mrembo wa watu” alisema Mainaya huku akimalizia kucheka.
Fadhili aliniita kama mara mbili hivi, ndipo nikaamka na kujifanya nimetoka kwenye usingizi mzito sana ambao bado ulikuwa umenikamata. kumbe utumbo wao wote nilikuwa nimeunyaka.
****
Maneno ya Mainaya na kaka zake yalinifanya nikose usingizi usiku wa siku ile. Nilitumia muda mwingi kuutafuta usingizi pasipo na mafanikio. Niligalagala huku nikiwa nimefumba macho kulazimisha nilale lakini sikuweza kabisa.
Nikiwa najipindua pindua kitandani pale nikasikia mlango wa chumbani kwangu ukigongwa kwa sauti ndogo. Mwanzo niliogopa kidogo lakini baada ya muda niliinuka na kwenda kuwasha taa. Nikasogea malangoni na kushika kitasa cha mlango kisha nikaweka sikio langu la kulia kwenye tundu ya kitasa kile.
“We nani?” Nikahoji kwa sauti ya chini ambayo bado ilikuwa na woga.
“Ni mimi fungua” nilisikia sauti ikijibu kwa kunong’ona lakini sikuweza kuitambua ilikuwa ni sauti ya nani. Nilichukua khanga yangu iliyokuwa ikining’inia kwenye msumari na kujifunga kwenye kifua kisha nikausogelea tena mlango.
“We nani?” nikahoji tena
“We fungua tu utaniona” alisema mtu yule kwa ile sauti yake ya kunong’ona.
Pamoja na kwamba nilikuwa bado sikumtambua mgeni yule lakini nikafungua mlango kwa tahadhari kubwa sana huku moyoni nikiwa na wasiwasi.
Nilipofungua tu mtu yule aliingia chumbani kwangu moja kwamoja. Nilipomtazama vizuri nikamtambua. Kumbe alikuwa ni kaka Imran. Alikwenda mojakwamoja na kuketi kitandani.
“Funga mlango” akaniambia kwa ile sauti yake ya kunongo’na.
Niliurudisha mlango ule pasipo kufunga kwa komeo. Ndani ya moyo wangu kulikuwa kumejawa na wasiwasi kibao. Kitendo kile hakikuwa cha kawaida kwa mtu ambaye nilikuwa namheshimu kuliko kawaida kuingia chumbani kwangu usiku mkubwa kiasi kile halafu heti ananiambia nifunge mlango. Jamni nyie acheni tu, Duniani kuna mambo!.
Baada ya kurudisha malngo niligeuka na kuegemea kwenye mlango ule huku macho yangu yakitazama chini kwa aibu. Kaka Imrani alinikazia macho kisha akameza funda la mate.
“Vipi mbona kama unaogopa?” alihoji
“Hapana” nikajibu kwa wasiwasi.
“Haya njoo basi tuzungumze”
“Zungumza tu nakusikia” nikamjibu kwa sauti ya chini huku macho yangu yakiwa angali yanatazama sakafuni. Kaka Imrani akanitazama na kutoa tabasamu.
“Inaonekana ni muoga enh?”
“Hamna” nikajibu nilijibu huku nikibonyeza bonyeza vidole vya mikono yangu.
Kaka Imrani aliinuka kutoka pale kitandani kwangu na kunisogelea mlangoni ambako nilikuwa nimesimama.
“Ondoa wasiwasi jamani mimi nilikuwa nataka tu kufahamu kama ule mzigo niliokuletea ulikupendeza” Kaka Imran alizungumza kwa sauti ya chini wakati akinisogelea.
“Asante nimezipenda” Nikamjibu huku nikimpisha pale mlangoni na kusimama pembeni.
“Sasa kama ulizipenda mbona hukuniambia hadi nikuulize?” alisema Imran akiwa amesimama hatu achache kutokea nilipokuwa nimesimama mimi.
“Ningekwambia tu kaka” nikajibu kwa aibu.
“Unaweza kuzivaa nikuone kidogo?”
“Abee!” nikaitika kama vile nilikuwa sikusikia maneno yake yale ya kushangaza.
“Namimi nataka kuona jinsi zilivyokupendeza mtoto mzuri”
“Mnh” nikaguna kwa kwa wasiwasi.
Yaani vile vinguo vyake vya ajabu ajabu alivyokuwa ameniletea ndivyo alikuwa anataka nivivae mbele yake. Kwakweli ulikuwa ni mtihani mgumu sana mbele yangu. Tena kwa vile ambavyo nilikuwa namheshimu kaka yule, Hata kama ni wewe ndugu msomaji naamini usingeweza. Mtoto wa watu nilikuwa nimekwishazoea kuvaa magauni na sketi ndefu, halafu yeye ananilazimisha kuvaa vinusu uchi, Eboo! Hana haya!.
“Vipi mbona unaguna” kaka Imran akahoji.
“Nitavaa kesho” nikaongopa.
“Kesho mie naondoka asubuhi sana, kwanini usivae sasahivi?”
“Mnh!”
“Sasa unaguna nini?”
“Lakini mbona nilikwisha jaribisha mchana”
“Ndio sikatai, lakini mimi sijakuona ulipojaribisha”
“Sawa kaka lakini….” Nilisita kuzungumza
“Lakini nini?”
“Nguo zenyewe mbona ndogondogo vile” nikazungumza la moyoni.
“Ndogo?” Kaka Imran akahoji kwa mshangao.
Nikajibu kwa kichwa pasipo kuinua mdomo wangu.
“Ndio, kale kamoja kanaishia humu kwenye mapaja, na kale kengine huku mgongoni kote kapo wazi” nikazungumza ukweli motto wa kike.
“He!” kaka Imran akabaki mdomo wazi kwa mshangao
“Haki yamungu vile”
“Sasa nawewe mrembo, zile ndio katalogi za mjini. Inamaana we huoni kwenye TV wanavyo vaa?” Kaka Imran akazungumza kwa sauti ya chini.
“Akuu! Mie siwezi” nilizungumza huku nikipandisha bega moja juu kuonesha msisitizo wa kupinga kile alichokuwa anakitaka.
“Hebu vaa basi kidogo tuone”
“Hapana kaka Imran mie siwezi”
“Unajua zile nguo zimenunuliwa kwa bei mbaya?”
“Sijui, labda niwe navaa na khanga juu” Nikamwambia.
“Khanga za nini wewe? hapa mjini” Alizungumza kaka Imran huku akiangaza angaza macho yake chumbani mle kama vile alikuwa anazitafuta zile nguo nilipokuwa nimeziweka.
“Ziko wapi hizo nguo zenyewe?” alihoji
‘Kule kwenye kabati”
“Hebu zilete" alinambia.
Nikiwa bado na woga nikavuta hatua kuelekea kwenye kabati kumtolea vile vinguo ambazo mwenyewe alikuwa akiviita nguo. Nilipopita karibu yake akanidaka mkono na kunisimamisha.
“Hebu ngoja kwanza mtoto mzuri” alizungumza huku akinivuta mkono wangu. Nilisogea na kusimama karibu kabisa na pale alipokuwa amesimama yeye.
“Mbona unataka kuniangusha jamani mrembo” alinambia
“Kwanini”
“Inamaana wewe hutaki kupendeza?”
“Abee!”
“Hupendi kupendeza?”
“Napenda”
“Sasa kwanini unapenda kujivalisha kizee?”
“Abee”
“Haya nambie na zile Chuchurichu nazo pia hujazipenda?”
“Mnh chuchurichu ndio nini?”
“Aah zile za ndani bwana!” alihoji kaka Imran swali amablo kwakweli sikuwa nimelitegemea hata kidogo. Nikabaki kimya nikitoa tabasanu pasipo kuzungumza neno lolote.
“Heti mtoto mzuri, nijibu basi” Kaka Imrani alizungumza huku mkono wake wa kushoto akiwa ameupeleka kwenye kichogo changu na kupapasa nywele za shingoni.
“Nimezipenda” nilijibu huku nikibonyea chini kwa mshituko kutokana na kitendo cha kaka Imran kunitekenya nyuma ya shingo.
“Unaweza kuzijaribu namimi nione zilivyokupendeza?” kaka Imrani alizungumza kwa sauti ya chini zaidi ambayo ilikuwa kama vile ikinibembeleza.
Mnh yale nayo yalikuwa makubwa mwenzenu aliyokuwa ananiletea kaka Imran. Heti nijaribishe kufuli halafu anione sasa ningeanzia wapi kusaula. Duniani kuna mauzauza jamani, nyie acheni muyasikie hivihivi kwa wengine.
“Wasema?” nikahoji kwa upole nikijifanya sikusikia maneno yake.
“Zijaribishe nione, au umevaa moja hapo?” alihgoji kaka Imran huku akipeleka mkono wake kutaka kufunua khanga niliyokuwa nimejifunga.
“Aah kaka wacha!” nilizungumza kwa sauti ya chini huku nikiushika ule mkono wake uliokuwa ukielekea kusiko kuwa kunafahamika.
“Kama umevaa si unioneshe tu kidogo”
“Hapana”
“Hapana nini sasa?”
“Sijavaa”
“Kwahiyo hapo hujavaa kitu”
“Abee”
“Hapo ulipo hujavaa kitu?”
“Nime…si…nime….” Nikajikuta nikishindwa kujibu swali lake lile.
“Hujavaa” Kaka Imran akadakia.
“Nimevaa” Nikajibu kwa mkazo
“Hebu tuone kama kweli umevaa” Mnh kaka Imran alizungumza huku akipeleka mkono wake kwa haraka kwenye madafu yangu ya nyuma
ITAENDELEA
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2QfyBub
No comments:
Post a Comment