Safari ya Mapenzi, Sehemu ya kwanza. Sikujua kama ningepitia safari ngumu ivi…. Nakumbuka ilikuwa wikendi moja siku ya jumapili siku hii uwa siendi kazini nikitoka zangu huwa natulia home tu. Nikiwa nimetulia zangu home nilishitushwa na sauti ya jirani yangu akiomba msaada
“Jamani majirani naomba mnisaidie ananinua hukuuuuu !!!!!!! Ilikuwa ni sauti ya jirani yangu akilia akiomba msaada sauti iyo ilinishitua pale mezani nilipo kuwa na pasi nguo zangu, ikabidi nizime pasi yangu na kutulia kwa sekunde kadhaa ili nipate uhakika sauti inatokea wapi Kwa mbali nikasikia kama sauti za watu wakizozana. Nikapunguza sauti ya redio ili niweze kusikia vizuri, sauti zile zilitokea wapi.niliamini sauti zile za kuzozana zilitoka katika moja ya chumba cha wapangaji wenzangu lakini sikuwa na uhakika ni chumba kipi.Sauti ya mwanamke akilia ikasikika tena na safari hii nikahamua kuzima redio kabisa ili nipate ushilawadu vizuri
“Jamani nisaidieni ananiuaaa..!!!!!! sauti ile ya mwanamke ikarudia tena kuomba msaada nikaitambua sauti ile ,ilikuwa ni ya msichana jirani yangu aitwaye Mage anayefanya kazi katika hoteli ya kitalii ya kalindi lodge..
“Nini kimetokea leo?mage na mumewe wanapigana ? Mbona siku zote wamekuwa wakiishi kwa amani ? Nikawaza na kufungua mlango wa chumba changu nikatazama kama kuna mtu yeyote pale uani ambaye alikuwa akiufuatilia ugomvi ule lakini hakukuwa na mtu yeyote yule ambaye alionyesha kujali watu wale waliokuwa wakipigana.Milango yote ya vyumba vya wapangaji wengine ilikuwa imefungwa na ilionyesha walikuwa wametoka .
Mage na mumewe james walikuwa wakiishi chumba cha jirani na mimi Wakati nikijishauli nifanye nini mara nikasikia kishindo kikubwa katika ukuta uliounganisha chumba cha mage na chumba changu
“Watauana hawa.Ngoja nikawaamue” akawaza ,na taratibu nikatoka chumbani kwangu na kuelekea katika chumba cha mage ,nikajaribu kugonga mlango kwa nguvu na kisha nikasikia sauti ya mage toka ndani.
“Ingieni mlango haujafungwa” nikakinyonga kitasa na kuingia ndani.Ghafla nikajikuta nimefunga breki za ghafla kwa kitu nilicho kishuhudia. Mage na mumewe walikuwa wakipigana wakiwa wamevaa nguo za ndani pekee.mage alikuwa amevaa chupi ndogo nyeupe na sidiria nyeupe iliyoyafunika matiti yake madogo na kuyafanya yasimame na knitamanisha Kwa sekunde kadhaa nilibaki nimesimama nimepigwa na bumbuwazi na macho yangu yalikuwa yameelekea katika mwili ule mwororo,mweupe wa mage Kwa jinsi nilivo kuwa nikiheshimiana na mage, nilijikuta napata uwoga na kutaka kurudi nje
“Isack nisaidie anataka kuniua huyu” mage akaomba msaada.ikabidi nisitishe kitendo cha kutaka kurudi nje,Badala ya kuwaamua ugomvi nikabaki kukodoa macho kwa mage.
“Isack nakuheshimu sana nakuomba tafadhali utoke ndani mwangu haraka .Usijaribu kuingilia mambo yasiyokuhusu.” mume wa mage akasema kwa ukali na kunishitua ..
“Isack usimsikilize huyu shetani…nisaidie ananiumiza !!! Mage akapiga ukelele.
” tafadhal……………” Nikajaribu kuongea lakini mume wa mage akanizuia
“Isack nakwambia toka humu ndani mwangu haraka sana.Nani kakupa ruhusa ya kuingia humu ndani? Ugomvi wangu mimi na mke wangu unakuhusu nini? tafadhali ondoka haraka sana kabla sijakufanyia kitu kibaya ” mume wa mage akasema kwa ukali huku ameikamata mikono ya mage kwa nguvu
“Isack nisaidie ananiumizaa!!!!! …..mage akalia huku akijitahidi kujitoa katika mikono ya mumewe. Nikamuonea huruma mage alivyokuwa akilia nikashikwa na hasira
“nakuomba tafadhali usiendelee kumpiga mkeo.Nakuomba ndugu yangu niko chini ya miguu yako muache mkeo.Unamuumiza ” nikasema taratibu ukunikimusii amuachie mkewe.
“Isack naona hujanifahamu vizuri mimi ni nani.Nimekwambia ugomvi wangu mimi na mke wangu unakuhusu kitu gani? Tafadhali ondoka humu ndani mwangu haraka.” akafoka.
“Mshenzi wewe humu ni kwako? Una kitu chochote unachoweza kusema ni chako humu ? ” mage akamwambia mumewe kwa ukali.Kwa hasira akamnasa kibao kizito.
………je isack atafanya nini??? Usikose mwendelezo

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YbXJ8u
No comments:
Post a Comment