Sunday, December 1, 2019

Madhara ya kugongwa hovyo hovyo penzini





Habari ya muda huu wasomaji wetu wa ukurasa huu wa mahusiano tujifunze mambo mbalimbali.
Leo tutazungumzia athari ambazo unaweza kuzipata kwa kufanya mapenzi na kila mtu kwa wengine wanaweza kusema kutoa penzi ovyo ovyo.
Hapa nazungumzia wale ambao hawajaolewa. Kwa yule ambaye ameolewa ni ruksa kufanya kadri anavyojisikia kwa mume wake.
Suala la ngono utakiwa kulichukulia ni jambo la kawaida wengine huona kulala na mtu  yeyote bila kujali matokeo.
Ngono haikukusudiwa kutumiwa kama shughuli ya burudani na kwa bahati mbaya, imekuwa jambo ambalo watu hulitendea vibaya tofauti na ilivyokusudiwa.
Watu huona ngono kwenye majarida na mitandao mbalimbali na kufikiri ni jambo la kupendeza bila kujali matokeo ya tendo hilo.
Katika maisha halisi, kuna matokeo baada ya ngono. Mungu aliweka jambo la ngono kwa kusudio maalumu hivyo ni sawa ikatumika ndani ya ndoa kama ilivyokusudiwa.
Usipende kuutoa mwili wako wa kila mtu jua ya kwamba sio kila unayemvulia nguo zako ni mwema kwako wengine wanakuwa na mikosi yao hivyo itaenda kukupata.

Mbali na mikosi pia unavyotembea na kila mtu upo kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
Pia unaweza kujikuta unapata magonjwa ya zinaa na mwanamke anaweza kupata mimba usizozitaraji.
Ni vizuri wanawake wenzangu kuangalia madhara ambayo utayapata usiangalie kupata fedha ambayo haiwezi kukusaidie pindi unapojigundua umepata ugonjwa.
Sana sana unaleta mzigo kwa familia kuanza kuangaika na wewe wakati hawakufaidika na wewe pindi unavyofanya starehe zako.
Ni vizuri tukaanza kubadili ijue thamani ya mwili wako usiufanye kuwa sehemu ya biashara kwani athari zake ni kubwa.
Kuna wengine wala hawajiuzi ila yeye kutembe na huyu mara yule haoni shida anaona ni kitu cha kawaida.
Wakati mwingi wala hayafurahii mapenzi kwa sababu sio kweli anampenda bali alikubali tu kulala naye na akimaliza mchezo hana muda naye.
Kwa mtu wa aina hii huwezi kusema huwa anafurahia mapenzi anatembea nao ili mradi kafanya naye na hana cha kupoteza
Kwa kawaida mpaka unaamua kulala na mtu ina maana una upendo naye wa dhati huwezi kulala na watu tofauti ukawa unawapenda, hapo ni kutudanganya.
Ili ufurahie mapenzi jitahidi kuwa na mtu wako mmoja ambaye unampenda na usikubali kugongwa gongwa na kila mtu.



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2DBTHgc

No comments:

Post a Comment