Tunajua kabisa kwa sasa kila kona ya mitandao habari iliyopo ni kuhusu nguvu za kiume, baadhi wakiongelea dawa tu pasipo kusema sababu na vitu vya kufanya ili mwanaume uendelee kuwa mwanaume
Tendo la ndoa ni muhimu, hili halikwepeki na hili likiwa vizuri linaongeza upendo katika mahusiano/ndoa. Hili tendo bwana halina ubishi, panga pangua utalipitia labda kama una sababu maalumu!
Leo tunakutajia baadhi ya mambo ambayo kama hautayaacha basi ni ngumu kuepukana na upungufu wa nguvu za kiume
1. MATUMIZI YA VYAKULA VINAVYOKAANGWA KWA MAFUTA YASIYO SALAMA
Kuna wanaume wengi wanatumia vyakula vya kukaangwa kama chipsi na mihogo. Ndugu tambua kabisa haupo katika eneo salama kama hautoachana na tabia hiyo. Mafuta yatumikayo kukaangia hivyo vitu huenda kuzizuia hormone zinazokupa matamanio ya tendo la ndoa(Testesterone), sasa kama hormone za matamanio ya tendo la ndoa hazifanyi kazi unategemea uwe na nguvu za kiume kweli? Siyo rahisi

2. MATUMIZI YA VYAKULA/VINYWAJI VYENYE SUKARI
Hapa pia ni shida, utakuta mwanaume anakwambia hawezi kushiba hadi anywe soda au juisi yoyote tamu. Hii hufanya mwili kuwa na sukari nyingi na kitendo hiki pia hufanya hormone zinazohusiana na tendo la ndoa ziathiriwe na zishindwe kufanya kazi. Hii ina maana kuwa itakufanya uwe na mapungufu

3. KUTOFANYA MAZOEZI
Hili nalo ni tatizo kwa wanaume wengi, haiwezekani mwanaume huwezi kutenga hata siku 3 tu kwa wiki za kufanya mazoezi angala nusu saa au dakika 20 tu kwa siku. Unaweza kutoka kazini saa 9 au saa 10 kisha baada ya kula pumzika kidogo kisha jitahidi kufanya mazoezi hata ndani tu ya kuruka kamba na zoezi lingine la kusimama na kuchuchumaa hadi mwili utoke jasho, au unaweza kuzunguka uwanja wa mpira hata mara 3 au 4 kwa siku. Mazoezi huuweka mwili vizuri, hufanya mzunguko wa damu uweze kufika kila sehemu ya mwili ikiwemo kwenye viungo vya uzazi na hivyo kuchochea matamanio ya tendo la ndoa.

Hivyo ni baadhi ya vitu unavyoweza kuhakikisha unavifanyia kazi ili kuepukana na neno ‘upungufu’, kama utaendelea kuviendekeza basi huwezi kudumu kwenye kifua cha mwanamke hata kwa dakika 5!
Pia vyakula hivyo vinakuongezea safari ya kwenda kupata magonjwa mazito kama Shinikizo la damu, Kisukari, Moyo na Figo

Matumizi ya unga wa mizizi ya mlonge bado yatabaki kuwa ya muhimu kwako hasa wewe ambaye kudumu kwenye tendo ni dakika 1 au 3 tu umeshamwaga mzigo wako na kumuacha mwenzio anatapatapa. Unga wa mizizi ya mlonge matumizi yake ni kutumia huo unga kijiko kimoja kile cha chakula kwa kuchanganya na maji ya uvuguvugu au uji mwepesi ujazo wa kikombe kimoja.
Endapo uliwahi kujichua ni vyema ukatumia huo unga wa mizizi ya mlonge na unga wa msamitu.
Kumbuka utumiapo dawa hizi hakikisha hautumii tena vyakula na vinywaji tulivyovitaja huko juu, pia usijaribu kabisa kujichua/kupiga punyeto tena.

🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2OEPrmB
No comments:
Post a Comment