Thursday, December 5, 2019

UUME MKUBWA/MDOGO HAUHATHIRI TENDO LA NDOA, UFUNDI NDIO KILA KITU



UUME MKUBWA/MDOGO HAUHADHIRI TENDO LA NDOA,

BORA UJIFUNZE KUUTUMIA VIZURI.  NIMESHANGAZWA MNO NA INBOX NYINGI ZA WAUME KUTAKA DAWA ZA KUREFUSHA UUME. 
MWANAUME UNAFAA KUJIAMINI NDO MFUMO WAKO WA KUFANYA MAPENZI UWE DHABITI. 
TENDO LA NDOA HUPANGILIWA AKILINI MWAKO,UNACHOKIWAZA NDO KITAKUPA UWEZO/KIKUKOSESHE UWEZO.
NANI KAKWAMBIA ETI HAUMRIDHISHI KWA KUA UNA UUME MDOGO? HAYA YOTE UNAJIJAZIA TU AKILINI MWAKO.
UUME MREFU NA MFUPI TOFAUTI NI MATUMIZI. HUO WAKO UNAOUITA MDOGO,UKAJUA KUUTUMIA UTAMRIDHISHA MKEO,NA HUENDA ALIYE NA MKUBWA AKAKOSA KUMRIDHISHA MWANAMKE NA BADALA YAKE,UKAMUUMIZA MWANAMKE NA KUMFANYA KUCHUKIA TENDO LA NDOA NA HATIMAE KUPUNGUZA HUBA KWA PENZI LENU.

JIFUNZE LEO KURIDHIKA NA ULICHOPEWA, UUME UNATAKA UUPAKE MAFUTA KAMA WADADA WANAVYOPAKA MAKALIO ILI YAWE MAKUBWA? UNAJIPENDA KWELI? UNAUTAKA UKUBWA WA UUME UUPELEKE SHOW AU UKAIGIZE NGONO?? MAANA PORN ZINAWAHARIBU SANA AKILI WENGI WENU..HEBU ZIACHENI..MWANAMKE ASIYERIDHIKA NA YAKO BASI HANA MAPENZI KWAKO.

UNAPOMPENDA MWENZIO INABIDI UMKUBALI JINSI ALIVYOUMBWA NA MUTAFUTE TU KUJUA MIKAO IPI ITAWARIDHISHA KATIKA TENDO.
ROMANCE NZURI INAWEZA IKAMRIDHISHA MNO MWANAMKE NA KATU ASILALAMIKE KABISA KWA UFUPI WA UUME WAKO.  TENA MUSIKIE WENYE MASIKIO,FANYIENI ZOEZI UUME ILI UWE NA MISULI/MISHIPA DHABITI....SIO KUULIZA DAWA ZA KUONGEZA UUME..... MBONA SIUZI HIZO MIMI! MAANA UKWELI NI KUA DAWA YA KUREFUSHA UUME SIDHANI KAMA ZIPO. JIPENDE NA UJIKUBALI JINSI ULIVYO,WANAWAKE WATAKUJA NA KUONDOKA ILA UUME WAKO UNABAKI NAO MILELE. AKIPENDA WARIDI,APENDE AVUMILIE MIBA!




  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Ltn48V

No comments:

Post a Comment