Sunday, December 1, 2019

JIFUNZE NAMNA YA KUMUOMBA KITU MUME WAKO ACHA KUMLINGANISHA NA WENGINE!





Dada zangu mnatakiw akujifunza namna ya kuomba vitu kwa waume zenu, punguzeni kulalamika na kuwalinganisha waume zenu na watu wengine. Ni moja ya kitu ambacho huharibu ndoa nyingi! Unashida flani, unataka mumeoa kununulie kitu flani, badala ya kumuambia mume wangu kuna sherehe nahitajika sare unaanza kwa kusema “Yaani wenzangu wote wameshona mimi nisiposhona nitaelewekaje?” hapo wakati mwingine hata hajakuambia sitakupa.

Lakini anakuambia kitu flani hapana, unaanza kusema mbona akina flani wamefanya hivi, mbona flani mume wake kamnunulia na mambo kama hayo. Unataka awe anakutoa out badala ya kuongea naye na kumuambia mimi napenda kutolewa out unaanza “Flani mume wake kila siku anamtoa out…” Dada zangu hembu ishi maisha yako, jifunze namna ya kuongea na mume wako, kwamba kama unataka kitu muambie.

Lakini kabla ya kuomba kitu hembu angalia uwezo wa mume wako, kuna kitu ambacho wanawake wengi wanacho kuamini kua wanaume kila wakati wana pesa, kuamini kua kwakua Baba flani mume wa flani yeye kaweza kumpa mke wake basi na mumeo naye ataweza. Wengine wanaenda mbali zaidi na kuseama “Wanaume wenzako mbona wamefanya hivi”. Kumlinganisha mume wako na wengine ni kama kumuambia kua yeye ni fala tu mbele ya hao walioweza.

Unapaswa kujua kuwa sio kwakua shoga yako kanunuliwa sare ya harusi labda mume wake ndiyo anampenda sana. Inawezekana kanunuliwa kwakua alimfumania jamaa kwa kupooza ndiyo ikawa hivyo, au labda kwakua hajanunuliwa kitu kingine au kwakua ana uwezo tu na watu hawalingani. Acha kumlinganisha mume wako na mtu mwingine na acha kuomba vitu ambavyo unajua kabisa kua mume wako hana!

KAMA IMEKUBARIKI #SHARE KAMA IMEKUGUSA SOMA KIMYA KIMYA!


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2OXEMSY

No comments:

Post a Comment