Thursday, December 5, 2019

Chupi mbele ya mwanamume ni kama vile rambo yenye mnofu mbele ya mbwa





Kati ya nguo zote tunazovaa wanawake, chupi ndio vazi pekee linalokuwa jirani kabisa na uke hivyo kumfanya mwanamume kumakinika anapoiona chupi yoyote. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Mwali wangu fahamu chupi yako ina uwezo mkubwa sana wa kuvuta umakini wa mwanamume kwako. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Ndio maana mwanamke haupaswi kuanika chupi hadharani kwani mwanamume akiiona humpelekea kufikiria taswira ya umbile la mwanamke mwenye chupi hiyo. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Vazi la chupi linaweza kumfanya mwanamume akavutiwa nawe na kukutongoza kabisa, na wakati mwingine mwanamume anaweza kuamshwa hisia kwa kuishika chupi yako, nasisitiza kutoanika nje nje tu. Simaanishi isianikwe Juani bali hakikisha hapo panapofikia mionzi ya jua wanaume hawapaoni na si nje uwanjani kabisa unaanika na unajua pana  wanaume wapangaji au hata kaka zako.

Wengine wanaume huziiba na kuziweka ndani kwao si kwamba wanakazi nazo ila wanaridhika na kuziona tu.

Wakati mwingine mnalalamikiana πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™ kuibiana chupi inawezekana nyingine huibwa na wanaume wanaoishi jirani na nyie.

Kwahiyo chupi yako itunze mahali safi pasipofikika na mwanamume akaona. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Wakati fulani mmeshuhudia unakuta mwanamke umeongozana na mumeo lakini mara mnapokutana na mwanamke mwingine aliyevaa sketi iliyobana mwanamume hugeuka kumwangalia, tatizo sio hips za yule mwanamke mliyekutana naye ila tatizo ni ile chupi iliyojichora kwenye makalio yake. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Upoambiwa ujisitiri, basi jua tatizo ni chupi yako isionekane kwa mwanamume kirahisi. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Wengi mmesimamishwa njiani ghafla na kutongozwa na mmeingia kwenye mahusiano na WANAUME waliovutiwa na chupi yako iliyojichora kalioni mwako kwa nje ya sketi, mwisho mnaombwa Ngono hata kabla ya Ndoa kwasababu alivutiwa na chupi na si vinginevyo. πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™Hii haijarishi mwanamume ana sali sana au la!
Amini kwamba unapovaa nguo za kubana msikitini/kanisani na chupi ikajichora, mara unapingia  basi wanaume kadhaa huwa unawatia kwenye mawazo ya ibada na kuwazia umbile lako.




  πŸ”žWAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/34TBNBz

No comments:

Post a Comment