Wednesday, December 4, 2019

CHOMBEZO: KICHECHE - 11





KICHECHE-11  




Niliushika mtalimbo wa mzee na kuutoa ndani ya kufuri lake ulikohifadhiwa kisha nikamsifia kuwa ana mchi mzuri. Nikawa naufanyia masaji kama naupigisha nyeto, ulikuwa katika hali Fulani legelege sasa ukaanza kukakamaa na kufanana na gia ya gari, “Pesa si kitu kwangu, nitakupa zozote utakazo.” Mzee alianza kuahidi pesa tu, kumuuliza mzee kama huyo kwamba ana kinga niliona iyakuwa ni ujinga. Niiitoa ya kwangu ataniona ni Malaya na wakati mimi nilihitaji anione mwanamke Fulani mwenye msimamo ila nilishawishika na pesa. Kumbe mzee anajua kabisa, akaitoa kwenye droo ya gari na kunipa nimvalishe. Taratibu nikamvalisha huku mzee akiunguruma kwa sauti Fulani ya chini sana.   Haikuchukua hata dakika kwangu kulipandisha lile gauni nililovaa na kubaki na kufuri langu la kizungu, nililivua kabisa kisha nikabaki mtupu. Kilichofuata ni kuukalia mhogo wa mzee ambao niliusindikiza kwa sauti Fulani ya kudeka ulipozama wote, naye mzee aliweweseka kidogo maana makalio yangu yalimsisimua. Mzee alinishikilia kama anataka kunipiga, alinikunyata shingo halafu kwa bahati mbaya alikuwa na kucha, yale maumivu ya kunichubua na kucha niliyasikia kabisa lakini ningelalamikaje wakati hela ya watu nimeshaichukua! Ilinibidi nivumilie, mwanamke nikaanza kumzungushia kiuno mtelezo, niliupeleka mdomo wangu mdomoni mwake kwa kuuvamia huku macho nikiwa nimefumba, tukaanza kuwaiga njiwa huku nikimpekecha mtalimbo, vidole vyangu vilipohamia masikioni nikaanza kumwona mzee anakakamaa miguu, aliinyoosha miguu utadhani anakufa, jamani tabu shingo yangu ilivyokuwa ikikwanguliwa, kweli utamu ukimzidi mtu anaweza hata kukung’ata bila kukusudia. “Daah! Kweli mwanangu atafaidi sana, we mtoto ni mtamu jamani,” “Hamna, kawaida tu.” Nilimjibu hivyo huku bado mtalimbo ukiwa haujatoka ikulu kwangu. Tulikuwa tukiangaliana na mzee kama wapenzi wa muda mrefu, mzee akanivuttia kwake na kuanza mchezo wa njiwa, nikasema anataka tena nini! Tuliwaiga njiwa kwa dakika kadhaa kisha akaniachia, basi nikajichomoa na kumsafisha vizuri, tukapulizia marashi ndani ya gari kuua msala, baada ya hapo safari ikaendelea.  Tulifika kwa kuchelewa ambapo tulikuta mambo yameshaanza. Nilitembea kwa kujishtukia kidogo maana sikujua kama nilikuwa na harufu au lah! Kuna muda katikati ya tafrija nilijisemea moyoni kuwa ni kweli pesa imeniteka. Yaani Joji alikuwa na hamu kubwa na mimi wakati mwenzake wala sikuwa hata na hisia naye. Kusema ukweli wanaume wa hivyo niliwaogopa sana kwasababu sikutaka kuwa sababu ya mtu kuumia moyo, niliowachangamkia ni wale wenye wake zao na wanaonihitaji kwa mara moja pekee. Sikugusa kilevi chochote kwenye tafrija hiyo maana nilijua naweza kuharibu mambo. Jinsi ya kumtoroka Joji ndilo lilikuwa jambo nililoliwaza sana, kwenye kona Fulani Joji alivuta na kuanza kucheza na mimi mziki, kwani ulikuwa mziki kwekli basi, yaani mziki unaenda vingine na sisi tunafanya yetu.  “Sidhani kama ninaweza kumpenda mwanamke mwingine kama wewe,” “Hauna haja si uko na mimi,” “Tafadhari naomba nikusikie ukiniambia unanipenda.” Niliwaza kwa haraka jinsi ya kumjibu, nilichofanya niliukimbilia mdomo wake na kuanza kucheza mchezo wa njiwa, tulicheza kwa muda mrefu kiasi kwamba jamaa kitu yake ilisimama hatari, mkono wangu mmoja ukawa kama unatafuta kitu juu ya zipu ya suruali yake au unatafuta nyanya zilizoiva. Kuhema kwa Joji kukabadilika, nikajua tu joto la mwili idara ya mitanange tayari limeshapanda. “Picha! Picha!” rafiki yake mmoja alikuja kutuita, basi tukasitisha zoezi hilo na kwenda kujuika na wenzetu. Baba yake alikuwa akiniangalia kwa macho Fulani kama ya kuhitaji tena mchezo, hapo kwenye picha mzee alikuja, nilimshangaa akiwa na maneno mengi kweli tofauti na alivyokuwa namimi kwenye gari.  Tulikuwa tukipiga picha tofauti tofauti, sasa zile za wengi, huwezi amini baba pia alikuwepo na kila picha alisimama karibu yangu, kweli Yule mzee alinipandisha sana presha kwenye zoezi la picha maana wakati nikiwa nimesimama na mwanaye, alidiriki kupitisha mkono kwa nyuma na kunishika wowowo, mwanaye hata hakushtukia nami sikuthubutu kumtoa kwa nguvu.  Kabla ya kushuka ndani ya gari, tulibadilishana namba za simu na baba mkwe, ulikuwa ni mwendo wa kutumiana ujumbe mfupi tu, nilivyokuwa na hatari, nilikuwa nikichati na baba mkwe huku nashikwashikwa na mwanaye. Alipogusia suala la hela nilisisimka, “Kweli baba?” nilimuuliza hivyo kupitia ujumbe mfupi “Ndio, unaweza kufanya hivyo?” aliniuliza “Hilo halina shida, nitakuja.” Tulitumiana jumbe fupi kupanga mipango ya kukutana nyakati za usiku.  Masikini wa Mungu aliniambia nikiweza kuonana naye atanipa tena milioni tatu. Kichwa kilikuwa kwenye milioni tatu tu. Yaani hapo nyumbani kwa kina Joji palikuwa na nyumba mbili nzuri zilizoungana, moja ilikuwa ya joji, nyingine ya baba yake.  Joji alikuwa kadebweda kweli, nikamvuta pembeni pamoja na kiti kisha nikamkalisha. Nilimtanua miguu na kumfungua zipu, nikautoa mguu wake wa tatu uliokuwa wima hasa, wakati huo nilikuwa nimepiga magoti. Joji alijua kilichofuata hivyo alijinyoosha huku sura yake ikijikunja kwa ajili ya kusubiria utamu, huo mguu wa tatu wenyewe ulishaanza kuteremsha udenda Fulani hivi, niliuingiza mdomoni na kuanza kuumung’unya, jamaa aliuguliaje! Vidole vyangu vilikuwa makini kucheza na karanga mbili za kizanzibari nikisogelea mpaka kwa mpododo wake, jamani niwaibie siri, wanaume wengi huwa wanapenda kuchezewa mipododo yao ila usitegemee hata siku moja watakwambia kuwa wanapenda maana wanaogopa kuishusha hadhi ya uanaume! Akikwambia kwa kinywa chake lazima umwone ni wa tofauti na uanze kumtilia shaka labda kuna waswahili wamegundua njia ya kwenda kumsalimia mjomba. We jaribu tu siku moja halafu utaniambia, tena ili asishtukie, jifanye humshiki kwa kukusudia, iwe kama bahati mbaya tu.  Joji alitoa miguno sijui alijiamini kwasababu kulikuwa na mziki! Mtalimbo wake ulikuwa kama mswaki mdomoni mwangu, “Toka! Toka! Namwaga! Alisisitiza ambapo nilimpisha, e bwana hao wazungu waliruka juu na sikuwahi kumwona mwanaume kwenye maisha yangu akirusha wazungu juu vile. Nikajua tu huyo hajafanya muda mrefu, alinikamata mabega kama anataka kunipandia kwa juu wakati alipokuwa akitoa wazungu wake, sasa mkono wake uliposogea shingoni mwangu nilishtuka, naye akashtuka kwani nilitoa kelele Fulani ya maumivu, “Mbona kama una kidonda?” aliniuliza hivyo “Aah, hamna nilijichubua tu na cheni.” Nilijitetea hivyo, shingoni hapo ndipo aliponichubua baba yake wakati akitamuka na mimi.  Basi Joji mwenye aliingia ndani nyumbani kwake, alinibembeleza twende muda huo lakini nilimwambia nahitaji kupunga hewa kwanza, kumbe baba yake alikuwa akiusoma tu mchezo, si akanifuata pale kwenye kona, akanipa maji ya kunywa, “Kunywa” aliniambia hivyo, nilipokunywa aliniinua kisha tukaanza kuwaiga njiwa, nilikuwa na wasiwasi kweli maana magari ya kampuni moja yakigongana itakuwa ni ajali kubwa ya mwaka. “Uliniahidi itakuwa siri!” nilimkumbusha baba mkwe “Ndio lakini kila nikikumbuka yale mauno, nadinda tu!” “Mwanao huyo anakuja!” nilimtisha hivyo, akakurupuka hasa “Kumbe muoga eeh!” nilicheka na kumtania hivyo, naye alicheka tu, akawa ananichezea makalio yangu, kiuno changu mpaka kifua changu, kweli mzee alidata hasa na umbo langu. Mwanaye kwa mbali alipotokeza mzee ndio akaondoka.  Nilipoangalia simu yangu ya kiganjani, nilishtuka kukuta ‘missed call’ ishirini na moja, alikuwa ni mama akinitafuta, mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio. Mama yangu ni mtu wa muhimu sana katika maisha yangu, akili yote ilihama, nilianza kuwaza shida itakayokuwa imemkumba mpaka akanitafuta hivyo, basi nikampigia mama, akakata. Akili ikazidi kuchanganyikiwa, nikapiga tena, ikakatwa. Machozi kwa mbali yalianza kunilenga, sasa nilipoga kwa mara ya tatu ndio nilichoka na sikuwahi kuchoka kama hivyo katika maisha yangu. Simu ilipokelewa ila ilionekana mama alibonyeza kitufe cha kupokelea bila yeye kujua kwahiyo iliniruhusu mimi kusikiliza kilichokuwa kikiendelea, sikuamini masikio yangu, “Mama yangu! Au nitakuwa nimekosea namba?” nilijiuliza hivyo Nilikata simu kisha nikampigia tena, ilipokelewa haraka sana, nikasikia yale niliyokuwa nikiyasikia mwanzoni, tena nilisikia vizuri bila chenga yeyote. Kusema ukweli nilipatwa hamu ya kushuhudia hayo yaliyokuwa yakiendelea maana sikuyaamini, nilitoroka kwenye hiyo tafrija bila hata kuaga ili niwahi nyumbani, “Ina maana Yule kijana hakuwa kwa ajili ya kazi sio?” nilijiuliza swali hilo nikiwa njiani kuelekea nyumbani…..ITAENDELEA


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO






from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/362wgJo

No comments:

Post a Comment