Leanne alikuwa na umri wa miaka 21 aliponunua kifaa chake cha kwanza cha kujisisimua.
Kifaa hicho kimetengenezwa na nyenzo laini ambayo inavutika.
Hakifanani na uume na kina rangi za kuvutia.
Mpaka kufikia miaka 21 Leanne hakuwahi kufika kileleni.
Anasema kukua nje ya mji wa Birmingham nchini Uingereza kunaweza hata kumfanya mtu kukaa bila mwenza kwa miaka miwili.
"Ninakumbuka jinsi ninavyojisikia .Siku moja niliamua kwenda kununua kifaa cha kusisimua ambacho nilikuwa ninakitamani kwa muda mrefu," Leane alieleza.
Leane alianza kufanya mapenzi akiwa na umri wa miaka 17 na alipofika miaka 21 tayari alikuwa amewahi kufanya mapenzi na wanaume kadhaa.
Mahusiano yake yote yalikuwa ya kipindi cha muda mfupi.
Kukatishwa tamaa
Anasema kwamba alikuwa anafurahia kufanya mapenzi kawaida lakini alikuwa afiki kileleni.
"Nilikuwa ninafurahia ile hali ya kukutana na mtu akanitongoza au nkamtongoza.
Nilifurahia kuwa na mahusiano na mtu lakini kiuhalisia nikifanya mapenzi nilikuwa sifurahii chochote.
Sikuwa huru na sikuona umuhimu wa kuwa na uhusiano.
Nilihisi kama nilikuwa napata msukumo kuhisi kitu ambacho nilikuwa sihisi chochote", Leane alisema.
Kadri miaka ilivyozidi kwenda, Leanne alianza kupata hofu juu ya yeye kushindwa kupata raha wakati wa kujiamini.
"Nilikata tamaa na maisha yangu mwenyewe kuliko watu wengine kwa kushindwa kusikia raha wakati wa kujamiiana.
Nilihisi aibu kushindwa kufika kileleni na sikutaka kumwambia mtu yeyote kwa sababu rafiki zangu huwa wanazungumzia mambo hayo kama yakitokea kwao huwa ni aibu kubwa,"Leanne alieleza.
Hatimaye aliweza kuongea na rafiki yake wa karibu baada ya muda kupita.
Rafiki yake alimwambia kwamba anashindwa kupata raha kwenye mapenzi kwa sababu hakuwahi kujisaga.
"Kama hujui namna unavyojisikia basi utahangaika sana, inabidi ujifundinze namna nyingine inayoweza kukupa raha", rafiki alimueleza Leanne.
Hatimaye nilihisi raha na kufika kileleni
"Ilikuwa siku ya jumamosi nilirudi nyumbani nikiwa nimenunua kifaa kipya cha kujisisimua na kuanza kukitumia.
Ilinichukua saa kadhaa kabla ya kuanza kufurahia kifaa hicho.
Nilihisi raha ya ajabu kwa sababu kabla sikuwahi kuhisi chochote,"Leanne alisema.
Tiba ya hofu
Leanne anasema hali ya kukosa kupata raha wakati wa kujamiiana ilikuwa inampa wasiwasi.
Lakini njia hii ya ktumia kifaa cha kusisimua inamfanya inamuondoa hofu.
Vifaa hivi vya kusisimua kufanya ngono vilianza kushamiri mwishoni mwa mwaka 1980.
Kwa muda mrefu sasa vifaa vya kusisimua vimekuwa vinawavutiawengi.
Vifaa hivi vina miundo mbalimbali, kuna vyenye muonekano wa wanyama kama sungura, ambapo wengi wanaonekana kuvutiwa na muundo wa sungura zaidi.
Mnamo mwaka 1998 , tamthilia ya 'Sex and the city' waigizaji waliacha kutumia midoli ya ngono na kuanza utaratibu wa kutumia vifaa hivyo maalum vya kusisimua.
Pamoja na kwamba midoli ya ngono ilifahamika na wengi lakini mambo yalianza kubadilika.
Kusisimua
Wabunifu wameanza kutengeneza vifaa vya kusisimua vya gharama kulingana na aina ya bidhaa yenyewe.
Kwa sasa, midoli iliyopo dukani inatarajiwa kuuzwa zaidi ya hata euro bilioni 22 ifikapo mwaka 2020.
Vifaa hivyo vinatengenezwa kwa muonekano wa kuvutia na wateja wanategemewa kuwa wengi zaidi.
Kwa sasa kuna wabunifu wengi na bidhaa zimekuwa na ubora zaidi.
Hali ambayo inapelekea kuwepo kwa bidhaa zilizobuniwa vizuri zaidi katika muonekano tofauti tofauti na gharama pia zikitofautiana.
Makampuni yameanza kutafuta njia nyingine ya kuweza kuchochea uchangamfu.
Wataalam wa vifaa vya kusisimua na midoli ya ngono wamebainisha hayo.
Gharama nafuu
Lakini teknolojia hii imekuja na gharama.
Unaweza kununua kifaa kimoja kwa Euro 120 kwa kila moja .
Ingawa kuna vifaa vya kusisimua ambavyo vinagharimu mpaka Euro milioni 1 ,kifaa ambacho nje imewekewa madini ya almasi.
Kifaa cha kusisimua chenye gharama hiyo kinatajwa kuwa ghali zidi duniani.
Aidha vipo vifaa vingine ambavyo vinauzwa kwa gharama nafuu.
Kuna vifaa vinavyogharimu euro 8 mpaka euro 15.
Kwa sasa Leane ana umri wa miaka 28 na anaishi na mwenza kwa miaka mitano
"Ninakiweka kifaa changu cha kusisimua katika kitanda changu na huwa ninakitumia kila siku Kiukweli ninahisi kama nmepiga hatua mpya katika kujamiiana", Leanne alisema.
Miaka saba iliyopita, mwanamke huyo alitumia kifaa cha aina hiyohiyo kwa wiki kadhaa
wakati mapenzi yakiwepo bado.
Baadae alianza kujiuliza kama 'kuwa katika mahusiano kuna umuhimu wowote' katika kuongeza raha ya tendo la ndoa kwa namna nyingine.
"Baada ya miaka kadhaa nimegundua kuwa siwezi kusisimka au kufika kileleni mpaka nitumie kifaa kilekile nilichokuwa natumia zamani na kukiweka katika sehemu ile ile ya awali ni kama vile siwezi kukidanganya kifaa changu", Leane alibainisha.
Kujiridhisha kimwili
Leanne anasema, mpenzi wake ameridhika kwa yeye kutumia kifaa hicho cha kusisimua wanapokutana kufanya mapenzi.
"Mara ya kwanza nilifikiri kuwa atajihisi kudharirika kama mwanaume lakini kila kitu kinaenda vizuri licha ya kwamba ningependa kufurahia kujamiiana kwa namna nyingine tofauti.
Pamoja na kwamba tumejaribu mitindo tofauti tofauti ya kufanya mapenzi ,mimi nikiwa juu yake na midoli tofauti tofauti huwa tunaridhika.
Lakini wakati mwingine huwa inakera, kwa sababu inanilazimu kutumia kifaa cha kusisimua ili niweze kufika kileleni.
Ni kama nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini sijaweza kuendelelea na maisha yangu ya kawaida na nina wasiwasi kuwa mraibu wa kifaa hicho kimoja cha kusisimua", Leanne alieleza.
Uraibu
Kwa mujibu wa wataalamu wanasema kwamba inawezekana kwa mtu kuwa mraibu wa kifaa anachotumia.
Ingawa hakuna uthibitisho wa kisayansi unaeleza kama mtu anaweza kuwa anapendelea kutumia kifaa kimoja tu na kupata uraibu wa kifaa hicho.
Lakini ni kawaida kuzoea kutumia kifaa kimoja.
Mtaalamu anasema hali hiyo inafanana na namna ambavyo wanaume wengi wanapoangukia kuwa waraibu wa picha za ngono.
Wanaume wengi wanaoangalia video za ngono huwa inawawia vigumu kufika kileleni wakati wanapofanya mapenzi na wenza wao.
Hii inatokana na mazoea ya kujichua wanapoangalia picha hizo na wanapokuja kufanya mapenzi wanajihisi tofauti na kile ambacho wamezoea kukifanya.
Lakini kwa upande wa wanawake kupenda kutumia kifaa kimoja kila wakati ,
hali hiyo hutegemea mazoea ya mwili.
Kuanza kutumia kifaa kingine lazima itachukua muda mrefu kuzoea au kama vitaweza kufanya kazi kabisa.
Katika hali kama hiyo ,wataalam wanashauri kuwa ni vizuri kwa mtu kutumia vifaa tofauti tofauti kwa wiki sita ili mwili uzoee misisimuko tofauti tofauti.
Kuanza kufika kileleni kwa kutumia njia tofauti tofati hii itamrahisishia ingawa itachukua muda mrefu.
Na unapoanza kutumia kifaa kipya cha kusisimua kwa mara ya kwanza utaona kama kinakuchelewesha lakini ni bora na inarahisisha mtu kuanza kufikia kileleni kwa muda mrefu.
Mimi na mwenza wangu tunaposhindwa kufika kileleni
Safia mwenye umri wa miaka 27, anaona kifaa cha kusisimua ndio suluhisho kwake baada ya kugundua kwmbaa huwa anapata shida kufika kileleni bila ya kuwa na kifaa hicho.
"Nilijaribu kutaka kufika kileleni kwa mkono wangu tu lakini nilishindwa.
Nilikuwa sina mahusiano yeyote ya kimapenzi wakati huo lakini hiyo hali ilinikera sana.
Nilikuwa ninaogopa sana kutumia kifaa cha kujisisimua kila siku kwa sababu nilihisi kilikuwa kinanipunguzia uwezo wa kufika kileleni na mwenza wangu au hata mimi mwenyewe",Safia alisema."
Alianza kutumia intaneti kuangalia kama kuna vifaa vya kusisimua ambavyo vitampelekea kuwa na msisimko wakati wote lakini hakupata taarifa za kutosha.
Hakuona taarifa zinazoongelea uzuri wa kifaa cha kusisimua.
Aliamua kuacha kutumia kifaa cha kusisimua kwa kipindi cha mwezi mmoja ,ilimuwia vigumu mwanzoni wa sababu kila siku alikuwa anakitumia ili aweze kupata usingizi na kupumzika.
"Nilikuwa na kifaa cha kujisisimua kilichonigharimu Euro 120. Mara ya kwanza kukitumia ,ilinichukua sekunde saba bila kuhisi kitu.
Nilishtukuta kuwa nimetoa Euro 120 na sihisi kitu .
Hivyo nilipoamua kupumzika kukitumia nilikitoa kabisa kitandani ili nisishawishike kukitumia kila usiku" Safia.
Jambo la kufikirika
Safia alitumia wiki au wiki mbili na kuanza kujichua kwa mkono wake tena.
"Sikutegemea hata kidogo kwamba nitaweza kufika kileleni kwa sababu hapo kabla sikuwahi kufika kileleni.
Je itafikia wakati ambao sitaweza kufika kileleni bila kutumia kitu hicho.
Nilijaribu vifaa kadhaa vya kusisimua lakini vyote vilikuwa vinafana .
Hali hii ilinipelekea kufanya utafiti ambao ulinisaidia kuandika katika blogu kuhusu ngono na vifaa vya kutumia wakati wa kufanya mapenzi kwa miaka tisa sasa" Safia alibainisha.
Kumfanya mtu kuona yasiyowezekana yanawezekana
"Vifaa hivyo vya kusisimua vinaweza kuwa vizuri.
Unaweza kufika kileleni hata kabla hujafikiria kupata msongo wa mawazo .
Kwa kweli ninapotumia vifaa hivyo imenisaidia sana" Safia alisema.
" Ikitokea kuwa nimepata mchumba mpya sawa lakini kwa sasa nitakitumia kila wakati.
Ninajihisi kuwa ninaridhika zaidi .Ninafurahia zaidi na huwa kinanishangazamno.Bado sina mpango wa kuachana nacho lakini mimi ni binadamu tu"...Leanne alisema huku anacheka.
Leanne na Safia bado wanafurahia kutumia vifaa vya kusisimua.
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/37WVr0A
No comments:
Post a Comment