Friday, February 21, 2020
FUPIIIII LAKINI TAMU SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA SEHEMU YA NNE“unashindwaje kuni thibitishia au nikuambie unifanyie nini ili niamini?” aliuliza mama mdogo, huku anakaa kwenye kochi lile lile, alilokaa kaka Denis, lakini safari hii, kuna jambo lilitokea, sijuwi ilikuwa bahati mbaya, maana wakati mama mdogo anakaa gauni lake lili panda juu, na kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake wazi, “nikufanyie nini” alisema kaka, huku macho yake yakitazama kwa wizi, kwenye mapaja ya mama mdogo, ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa wazi, “utakubari nikikuambia?” aliuliza mama mdogo, na kumtazama kaka Denis kwa macho ya kulegea huku anajichekesha chekesha.………….endelea
“nitajitaidi ili uamini kuwa sikupenda kukutukana” alisema kaka na sisi tuka tazamana, tukionyesha kuwa wote tulikuwa tuna hamu ya kusikia kitu ambacho mama mdogo alikuwa anaitaji kufanyiwa na kaka Denis, kwanza mama mdogo alianza kwa kujichekesha chekesha, na kujifanya ana pandisha miguu yake kwenye kochi, kitu kilicho sababisha nguo yake kuzidi kupanda juu, na kuacha mapaja wazi zaidi kiasi cha chupi yake kuonekana kidogo, “nataka leo ulale hapa nyumbani” kauri hii ilinifurahisha sana, ata nilipo mtazama Eva niligunduwa pia alifurahi, mtihani ukawa jibu la kaka litakuwaje, “mh! hakuna kingine ambacho naweza kufanya zaidi ya kulala hapa?” aliuliza kaka kwa sauti iliyo jaa mshangao, na kabla ajajibiwa na mamdogo, mala tuka sikia sauti flani hivi kama ya vyuma vya basikeli iliyokuwa ina karibia pale nyumbani, hapo tuka mwona mama mdogo, anakimbilia kwenye ukuta usawa wa sehemu ya switch ya kuwashia na kuzimia taa, aka zima taa haraka, kisha akaenda kwenye switchi ya Tv na kuizima pia mwisho akarudi pale alipokaa kaka, na kumshika mkono, “twende chumbani” alisema mama mdogo kwa sauti ya kunong’ona, huku anamvuta kaka, akimtaka asimame, na kweli kaka akasimama na kumfwata mamdogo, alie kuwa anakuja usawa wa kolido ambako sisi tulikuwa tume jibanza, kuona hivyo, tuka kimbilia chumbani, huku tuna cheka kimya kimya, “tulipofika chumbani ambako kulikuwa na vitanda viwili, tuka kimbilia kujilaza kwenye kitanda kimoja kidogo, na kujifunika, gubi gubi, tukiacha sehemu ndogo, ya kuchungulia, tuka waona kaka na mama mdogo waaingia, mama mdogo akiwa amemshika mkono kaka, na kumweleza kwa ishala akae kitandani na kukaa kimya, kaka akafanya kama alivyo agizwa na mama mdogo, ambae akufanana na vitendo vile vya kitoto alivyo kuwa anavifanya, kaka aka kaa kwenye kitanda tulicho lala sisi, na wakati huo huo tuka sikia mlio wa kengere baiskeri, ukisikika kwa kurudia rudia, lakini mama mdogo aka tulia kimya huku aki mtazama kaka usoni, na wakaishia kutabasamuliana, mpaka zile kengere zilipo koma.
Naam tukiwa tuna chungulia toka kwenye shuka, tuka mwona mama mdogo, nikama amechezwa na machale, aka wai kwenye switchi ya taa ya mle chumbani na kuizima, alafu sekunde chache baadae tuka sikia, vishindo vya nyayo, za mtu akisogea kwenye dirisha la chumba kile, tukatulia kimya kabisa, ata kaka nae alie kuwa amekaa pale kitandani alitulia kimya kabisa, sekunde chache baadae tuka sikia, dirisha lina gongwa, huku mgongaji akirudia mala mbili, na yatatu akagonga huku anaita “Irene… we Irene” ilikuwa ni rafudhi ya kipemba, ambayo moja kwa moja ilitufanya tumtambue mgongaji kuwa ni Juma mpemba, yule mwenye duka, “nani wewe?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ambayo kama ungekuwa nje ungekjuwa alikuwa ametoka kuhamka, huku akisisitiza kaka kwa ishala, kuwa akae kimya, “mie mpemba bwana, nsha fika” alisikika mpemba, “usiku wote huu unafwata nini?” aliuliza mama mdogo, akijifanya kuchoka kwa usingizi, “lakini Irene si nilikuambia kuwa ntakuja, nikaribishe ndani basi mwenzio nalowa mvua” alisema mpemba kwa sauti ya kulalamika, nikweli mvua ilisikika bado ina nyesha, “kweli siwezi kukuingiza nyumbani kwa dada yangu usiku huu, unazani watu watafikiliaje” alisema mama mdogo, ambae alikuwa amesimama mbele ya kaka Denis alie kuwa amekaa kwenye kitanda tulicho kilalia sisi, “lakini mbona ulikubari nije usiku huu?” aliuliza mpemba, kwa sauti ya malalamiko, “lakini umechelewa mwenyewe, mi nimesha lala” alisema mama mdogo akionyesha kuwa akuwa na dalili ya kufungua mlango, “nilikuja mwanzo, nika mkuta yule kijana, nikaona nije baade” alisema mpemba kwa sauti ile ile ya malalamiko, “siungegonga mlango, kwani alikukataza?” aluliza mama mdogo, safari hii analaza kiganja cha mkono wake kichwani kwa kaka Denis na kufanya kama anamchezea nywele, nikamwona kaka anashangaa kitendo kile, “pia nilimwona mtu mwingine anazurula mitaa hii nikaona nibola niwe na subira…” aliongea mpemba na kabla aja malizia, akasikika akiondoka pale dirishani kwa mwendo wa kukimbia, hatukujuwa alikuwa anakimbia nini, tuka msikia mama mdogo akicheka kicheko ambacho alimwambukiza na kaka Denis, “sasa si utalala hapa hapa?” aliuliza mamamdogo kwa sauti ya kunong’ona, huku bado mkono wake upo kichwani kwa Denis, ambae kabla ya kujibu, alitazama kwanza kitanda alicho kikalia, yani kile tulicho lala sisi, kisha akajibu, “sawa, lakini mtoto mmoja ibaidi ulale nae” alisema kaka, kwa sauti ile ile ya kunong’ona, kisha akaanza kuvua viatu akijiandaa kulala, “Eva, njoo ulale huku” alisema mama mdogo, huku napanda kitandani kwake na kujifunika shuka, tulishangaa kidogo, maana tulizania kuwa mama mdogo na kaka wanazania kuwa tumelala, “sitaki mamdogo, mi nalala na wakina Pross” alijibu Eveline, huku akizidi kujifunika gubi gubi, “kitanda kidogo icho mtalalaje watatu?” aliuliza mama mdogo, lakini ilikuwa kazi bule, “basi kaka Denis aje kulala kwako” alisema Eva, na hapo mama mdogo akaishia kucheka kwa kuguna.
Tayari kaka alisha maliza kuvua viatu, na alionekana kuwa akuwa na mpango wa kuvua nguo zake, hivyo alitaka kulala na nguo zake, ana subiri Eva atoke, ili yeye aoande kitandani, lakini kabla mama mdogo ajasema lolote, mala vika sikika vishindo nje ya nyumba, vikisogelea dirisha la chumba tulicho lala sisi, hapo wote tuka tulia kimya, tukisiliza vishindo hivyo vilivyo kuja moja kwa moja mpaka dirishani na kufatia mtu kugonga dirisha, ikiwa kama ilivyo kuwa kwa mpemba, mgongaji aligonga mala kadhaa, bila kuita na baadae akaanza kugonga huku anaita, “Irene… we Irene amka basi” ilikuwa ni sauti ya kiume, ambayo tuliitambua kuwa, ni sauti ya yule anae mpaga mamamdogo ela na samaki, huyu alikuwa ni bwana Wakwetu, hapo tuka msikia mama mdogo akijifanya kujigeuza kitandani, kisha kikapita kimya, nikama yule Wakwetu alizania kuwa, ma’mdogo ana amka kama alivyo mwambia, zikapita sekunde kadhaa, na alipoona kimya akagonga tena, “we Irene mwenzio na lowa na mvua, amka basi unifungulie” alisema Wakwetu, na hapo mama mdogo aka jifanya kupiga mhayo, “nani wewe?” aliuliza mama mdogo kwa sauti yakichovu, ungesema alikuwa ametopewa na usingizi, “mimi Wakwetu” alijibu Wakwetu, na hapo mama mdogo akajifanya kushangaa, “Wakwetu unafwata nini usikuu, watu wakikuona hapo unazani wanifikiliaje?” aliuliza mama mdogo kwa sauti ya mshangao iliyo changanyika na ukali, “lakini Irene si uliniambia nije?” alisema Wakwetu kwa sauti ya upole iliyoanza kunyongea, “mimi nilikuambia uje usiku huu, au wewe ndie ulie sema kuwa utakuja?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ya kusuta, “lakini si ulikubari ndio maana nime kuja” alisema Wakwetu, ambae sauti yake ilianza kutia huruma, “mh! kwa hiyo nilikubari uje usiku kama hivi, alafu uingie nyumbani kwa dada yangu?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ya kusuta, hapo kwakweli niligundua kuwa mama mdogo akuwa kama nilivyo kuwa na mhisi, kuwa ni mwepesi kutoa bumunda lake, ata kaka nazani, aligundua hilo, japo na yeye alianza kumwona kuwa ni mwingi wa habari, “sasa tuna fanyaje, basi twende tuka chukuwe chumba guest, kama hapa unaona siyo vizuri” alishauri Wakwetu, kwa sauti ya kuomboleza kweli kweli, “mh! chumba cha nini, inamaana unataka kulala na mimi, kwani nilikuambia nimesha kukubari?” swali hilo, nazani lilimwingia sana, Wakwetu, ambae alipata jibu kuwa, akuwa amepewa jibu la kukubaliwa, nika amsikia anaachia msonyo mrefu, “kwa hiyo mpaka sasa ujakubari tu!” aliuliza Wakwetu kwa sauti ya ukali, “kwani wewe si unamkeo?” aliuliza mama mdogo, kwa sauti ya kusuta, “wakati unachukuwa vitu vyangu ukujuwa kuwa ninamke?” aliuliza Wakwetu kwa sauti ile ile ya ukali, akionyesha amejawa na jazba, “kwani nilikutuma unipe ebu ondoka mi nataka kulala bwana” alisema mama mdogo safari hii kwa sauti ya chini, “hivi we mwana mke unajuwa mimi au unasikia?” aliliuza Wakwetu ambae nikama hasira zilikuwa zina zidi kumpanda, hapo mama mdogo akakaa kimya, “tatizo unajiona mzuri we! mwanamke, ndio maana unaringa sana, na nina kuambia utalipa ela zangu na vitu vyote nilivyokupa” aliongea Wakwetu ambae kama ange kuwa karibu na mama mdogo nazani lazima ange piga vibao, alionyesha kuwa na hasira kali sana, na alipoona ajibiwa akaondoka zake uku anatukana, ana mwambia ma mdogo siyo mzuri, alafu Malaya.
Naam wote mlke ndani ya chumba tulitulia kwa sekunde kadhaa, tukisikiliza vishindo vya Wakwetu “chapa! chapa! akitembea kwenye tope, huku mvua ikiendelea kumchamanda, na wakati mwingine akisikika akiteleza na kujiwai, maana atukusikia akianguka, binafsi nilitamani kucheka, lakini nika jizuwia, huku Eveline akicheka kisiri siri.
Tulimsikilizia Wakwetu, adi vishindo vyake vilipo toweka, mama mdogo akaanza kucheka na sisi wote tuka cheka, kwanguvu, kasoro kaka Denis alie cheka kivivu, ni kama mtu alie kata tamaa flani, hapo nika juwa kuwa, pengine ile madogo kumwomba alale pale nyumbani kwao, basi yeye alihisi kuwa anaweza kula kitumbua cha mama mdogo, lakini kwa jinsi alivyoona, wale watu wenye ela zao, wanakataliwa basi akakata tamaa, “Eva mtalalaje hapo, mishe kaka Denis alale na Pross, we njoo ulale na mimi” alisema mama mdogo kwa sauti ya kumsimanga Eva, na siyo kumbembeleza, “mi nataka kulala na Pross” alisema Eva kwa sauti ya kudeka, huku muda wote kaka akiwa amekaa kwenye kitanda anasubiri Eva atoke, “Denis njoo ulale hapa, mwache huyo na ubishi wakelake na mwenzie” alisema ma mdogo kwa sauti flani kama ya kujaribu hivi……… endelea kufwatilia mkasa huu hapa hapa kwa
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2PeLi8H
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment