Kila binadamu na hisia na zake, nasema hivyo nikimaanisha kwamba unaweza ukamkuta mwingine wakati akiguswa shingo anashtuka hadi kudondoka mwingine wala hajishughulishi!! Maisha ya mapenzi yanahitaji ufundi ili yaweze kuwa furaha ya maisha katika maisha yenu . La sivyo utajikuta unaibiwa km si kumkera mwenzi wako! Wapendwa, kuwa katika mahusiano ya furaha aihitaji kwenda kwa waganga wa kienyeji au kuwa na bahati kama wengine wanavyodhani bali ni kujua unachohitaji kutoka kwa mpenzi wako na ufahamu jinsi ya kunfanya afurahi.
Naamini tendo la ndoa si kitu kigeni masikioni mwa watu wengi waliopo kwenye mahusiano halali. Tendo hili ni raha na ni kama uti wa mgongo katika maisha ya wapenzi, lakini kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawalifurahii. Kuna watu wanafanya mapenzi katika mtindo ambao hauna tofauti na kubakana. Hivi uliwahi ona wapi Simba na Yanga wakacheza mechi bila maandalizi? hakika hakuna kitu kama hicho. kwa sababu hakuna anayetaka kucheza chini ya kiwango na kushindwa kuwapa burudani washabiki wao.
Sasa wewe inakuwaje unacheza mechi bila kuwa na maandalizi? Wewe na mwenzi wako ni kama Simba na Yanga tofauti yenu ni kwamba wao wana washabiki wakati nyinyi ni wachezaji na pia ndio washabiki!
Best, tendo la ndoa linahitaji maandalizi na si kukurupuka kama vile wafanyavyo wacheza mieleka wawapo ulingoni! Kunvaa mpenzi wako na kuanza kula tunda hiyo haina tofauti na kubakana kwa sababu hakuna burudani itakayopatikana baina yenu!
Pia kuna watu wana uelewa mdogo juu ya suala la maandalizi kabla ya tendo la ndoa, wengi hudhani denda hutosha kuwa andalizi la tendo zima bila kujua kuwa, kama ni hesabu basi hiyo ni namba moja. Miili tuliyonayo kama ikitumika vizuri ni silaha tosha itakayonfanya kila mmojanwetu afurahie tendo la ndoa na kutamani kulirudia tena na tena. tatizo kuna baadhi yetu hawajui sehemu gani zinamsisimko zaidi katika miili ya wandani wao. Hivyo kujikuta wakishindwa kutumia sehemu hizo katika kupasha joto miili ya wapendwa wao kabla ya game, kama wewe ni mmoja wao basi hapa umepata tiba.
Itaendelea kwa group la whatsap
WAKUBWA TU :Tazama Video za kikubwa hapa
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/33LQmXG
No comments:
Post a Comment